Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

MSAADA TUTANI.
kwa bahati mbaya juzi kati nimejikuta nime-format local disc D ya pc yangu ambayo nimehifadhi vitu vyangu mbalimbali muhimu mnooo, naomba msaada wa namna yakurudisha kwa yoyote anayefahamu.

Natangulisha shukrani.
 
Mkuu mie nina Lenovo ideapad z580 imevunjika maeneo hayo hinge moja imevunjika pia upande wa cover la juu na chini panaposhika hinge pameharibika mno natafuta housing au namna ya kuweza kurepair hiyo issue naomba kama sio wewe basi recommend fundi unaemwaminia.
Uko Wap? Naomba Pia Kama Hutojal Niambie Model Ya Hiyo PC Au Picha Sake PM
 
Pc yangu ni HP ProBook 6360b ninatumia OS ya Windows 7 Professional.... Sasa Pc Inakua inajiwasha yenyewe pindi tu nikichomeka chaja yake (lakini betri yake ilishakufa), na pia wakati ninapoizima (shut down) yenyewe inajirestart badala ya kuzima. Je hapo tatizo nini?
CMOS Battery Boss Imekufa Au Haipo! Badili Tu
 
MSAADA TUTANI.
kwa bahati mbaya juzi kati nimejikuta nime-format local disc D ya pc yangu ambayo nimehifadhi vitu vyangu mbalimbali muhimu mnooo, naomba msaada wa namna yakurudisha kwa yoyote anayefahamu.

Natangulisha shukrani.
Ushafanikiwa?? Kama Bado Nitafute Ila Uwe Na MB Za Kutosha Tufanye Hili Zoezi Remotely Free
 
Msaada,mimi ndo nimemiliki PC soon. Nimewekewa window 10. Swali langu ni kuwa kila mara napewa notification ya kuapdate hiyo window ila mimi siruhusu kwasababu mb kuwanazo chache. Vilevile hata programm ya Microsoft word 2019 pia indai kuapdeitiwa. So kuna athari yoyote ya kutoapdate hizo programm. Kama hakuna athari nifanjyeje nisiwe naletewa hizo notification?
 
Siyo lazima ku-update. Na haina athari yoyote
 
Ndugu nimerudi tena kuomba msaada zaidi,
"Hetman data recovery" hii inahitaji license key kabla hata haujaitumia
Na kutumia "Minitool" nimefanikiwa ku recover GB1 hapo ndo mwisho wa free version na inahitaji license keys ili niweze kuendelea zaidi.
Naomba msaada zaidi
 
Ni check pm nikupe license key ya mojawapo
 
Back
Top Bottom