Tatizo lolote la PC/device

P
Alphabet ziko sawa..shida iko kwa namba za juu ya alphabet hazifanyi Kazi...pamoja na namba za pemben zile za pembeni ya alphabet ,japo hizi za.pemben Kuna siku zinafanya Kazi,Kuna siku hazifanyi kabisa .

Je hiyo NUM Lock naipata wapi kwenye laptop
Piga pocha nikuoneshe
 
Wakuu mimi pc yangu ni del imevuja wino nusu kwenye screen naomba msaada wenu nifanyeje na gharama kwenye matengenezo
 
PC yangu nikiiwasha inaleta hivi, kisha inaandika diagnosing your pc. Mwisho inaleta hayo maneno ya blue. Nikienda kwenye advance options inaanza upya tena. Msaada wenu
 
Pc yangu nikiwasha uku nimechoka hdmi kuelekea kwenye tv inagoma kuwaka na inaweza isiwake tena ata week 2 zikaisha... shida inaweza kuwa nini wakuu
 
pc iliwahi kuwa na bluetooth sio? maana si pc zote zinayo. na sehemu nzuri ya kupata driver ni site ya manufacture, ni model gani pc
 
pc iliwahi kuwa na bluetooth sio? maana si pc zote zinayo. na sehemu nzuri ya kupata driver ni site ya manufacture, ni model gani pc
Mkuu upo active sana shukran, hv nlikua ndo naangalia pc model ili niedit swali langu hapa

*Kabla sijapiga hii window, ilikua na window 10 ambayo pia ilikua haitaki kuconnect Bluetooth nkadhani tatzo n window mana window 10 ina usumbufu mwng sana

*Pc ni HP Pavilion g7 Notebook PC
 
mkuu bado jina halijakamilika, mfano wa jina kamili


HP Pavilion g7-1150us
 
Uko sahh mkuu hii pc naeza sema haina hardware ya Bluetooth. Maana nimedanlod hzo driver lakn tatzo bado laendelea.

Lakn najiuliza kama haina hardware ya Bluetooth ni kwa nn Bluetooth inaonekana kwny list ya devices? (Hii Bluetooth niliiadd manually)


View attachment 2001826
 
Alternative angalia kupitia bios. Cheki network card ni ya aina gani na kama ina Bluetooth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…