Tatizo lolote la PC/device

Sasa mkuu unjaniambia bundle lako ni GB ngap or MB unavyotumia?,
Na kumbuka kama 4g pia bandwidth yake ni kubwa so na ulaji wa data ni mkubwa kidogo lakin pia umejaribu kuzuia Automatic Updates pia?

NB::Na kingine utumiaj wa internet wa simu na PC sio Sawa.
 
Sasa mkuu unjaniambia bundle lako ni GB ngap or MB unavyotumia?,
Na kumbuka kama 4g pia bandwidth yake ni kubwa so na ulaji wa data ni mkubwa kidogo lakin pia umejaribu kuzuia Automatic Updates pia?
Automatic update nazo nimezuia.

Nilipokuwa na window 7 hili tatizo halikuwepo kabisa
 
Automatic update nazo nimezuia.

Nilipokuwa na window 7 hili tatizo halikuwepo kabisa
1.ingia regedit.msc disable confige automatic updates

2.set mtandao unaotumia uwe metered.

3.ingia services zima vifuatavyo
  • delivery optimization
  • background intelligent transfer services
  • windows update.
 
Nina laptop ina shida ya kufungua mafolda yenyewe. Tatatizo lipo kwenye nini? Inafungua inaji control yenyewe bila hata mimi kufanya chochote baada ya kuwasha. Ikiwa na ugonjwa huwa najaribu kuzima na kuwasha tena japo kuna wakati inakubali na kuna Wakati pia inagoma
 
1.ingia regedit.msc disable confige automatic updates

2.set mtandao unaotumia uwe metered.

3.ingia services zima vifuatavyo
  • delivery optimization
  • background intelligent transfer services
  • windows update.
Shukrani
 
Mkuu sijakuelewa vizuri ila, but unaweza kuliweka swali wapo wangi pia humu wana uelewa wa vitu vingi
Mkuu,PC yangu nimejaribu ku update drivers. But kuna drivers 8 naaambiwa extremely old na nyingne 3 naaambiwa missing. Nifanyeje hapo msaada.
 
Mkuu,PC yangu nimejaribu ku update drivers. But kuna drivers 8 naaambiwa extremely old na nyingne 3 naaambiwa missing. Nifanyeje hapo msaada.
windows gani unatumia mkuu??
option nyinyine ya haraka,
kama ni windows 10 uwa inafanya update za drivers zote kupitia windows update ila pia unaweza kufanya manual kucheki kila drivers online na ku-update mwenyew na hii njia ni kama drivers nyingine unakuwa una shida nazo sana so unaweza kufanya update ya drivers uzitakazo tu.

Hopefully nimekusaidia na kama bado unaweza kuniuliza tena mkuu.
 
Mkuu japo sijajua unatumia windows gani....?
Tatizo la folder kufunguka lenyewe kuna uwezekano mkubwa wa virus kuhuska pia mkuu ila jaribu njii hii moja kwanza
anza kucheki with SFC (system file checker) kwanza,
fungua cmd kisha type SFC /scan now hii inasaidia kuonyesha mafaili ambayo inawezekana yapo corrupted na virus na ndio maana yanafunguka yenyewe, inatumia muda kidogo ila inabidi uingoje imalize.
 

Natumia Windows 7
 
umejaribu njia nilikotumia kwanza?

Ndio mkuu. Imegoma. Yani hata nikipeleka ule mshale kwenye folder bila ku clik inajifungua yenyewe. Tena zaidi ya mara moja yani. Yani folder moja linajifungua hata zaid ya mara 10 tena kwa speed
 
Mkuu niliwahi ku address hili tatizo la PC yangu aina ya Toshiba portege z30a, nashukuru nilipata clip Moja YouTube jamaa kaifungua na kukata kiwaya kidogo kilichopo kwenye touch pad Kisha akaifunga na kuwasha tatizo likaisha NAMI nilifanya hivyo tatizo likaisha, lakini sasa hii PC battery yake ni ya ndani na baada ya kuifungua screw zake kurekebisha tatizo ya touch pad na kuisha, battery nayo ikagoma kusoma yaani nimejaribu kutoa na kuweka lakini imegoma kusoma kabisaa Hadi nafikiria kuagiza battery nje lakini kabla sijaagiza hiyo battery una ushauri Gani Kwa tatizo hili jipya maan battery langu lilikuwa linakaa na charge kutwa nzima kama simu vile.
Kwa sasa naitumia PC yangu kama desktop vile wakati ilikuwa inakaa na charge kutwa nzima [emoji30][emoji30].

Maoni Yako kiongozi
 
SAMAhani bro una roho ngapi?? je ni ke au ni me?......babu yako alikuwa chif au kawida tu?
 
Battery Iligoma Baada Ya Kufunga Hiyo PC Siku Hiyo Hiyo Au Ilikubal Then Ikakata Baada Ya Siku Kadhaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…