Von Dee
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 349
- 601
Nishajaribu kuwasha bila battery bado ikagoma nshabadilisha adi chaja bado ivoivo aiwaki labda apo nijaribu hiyo hard resetMkuu hapo Tatizo ni battery limeisha kabisa au limegoma kucharge kabisaaa, jaribu kufanya hivi chomoa battery kisha jaribu kuwasha bila battery uone kama itawaka, kama ikiwaka izime alaf, fanya hard reset ya HP ( chomoa charger, chomoa battery, Toa CMOS battery, kisha shikilia button ya kuwashia kwa sekunde 10 hivi, japo CMos battery sio lazima sana pia)
Kama isipowaka jaribu na charger nyingine ambayo inatoa umeme sawa kwaajili ya Pc hiyo.