Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Mkuu PC ikiungua motherboard inaweza kutengenezwa na kufanya kazi vizuri?
Vipi inaweza kusurvive kufanya kazi kwa muda mrefu baada ya matengenezo?
Ndio Kaka Shida ani Kujua Part Gan Ya Motherboard Imeharibika
 
Naombeni kujua bei ya laptop keyboard ya compact(v6000) , naomba kujua bei ya hdd 500gb na ram 4gb
 
Pc yangu Ina window 8.1 lakini haisupport wifi connection kwa simu za AP band 2.4GHz tatizo itakua Nini?
 
Na hasara gani itatokea endapo PC baada ya kuharibika ikakaa muda mrefu bila matengenezo? Ya kwangu ina mwaka sasa
Hakuna Madhara Ila Battery Yake Kama Ilikuwa Connected Kipind Chote, Itakuwa Freezed Inabid Uishtue Baada Ya Ku Repair PC
 
Aisee USB zimeacha kusoma kwenye PC Tatizo Nini? Maana PC zingine zinaisoma hiyo pc
 
Aisee USB zimeacha kusoma kwenye PC Tatizo Nini? Maana PC zingine zinaisoma hiyo pc
USB kuacha kusoma kwenye PC kuna uwezekano wa kuwa USB Driver za PC yako sio build inside motherboard, au zipo corrupted, au kwenye ku-update basi baadhi zimeshindwa kuendana na hiyo update mpya.

Taja aina ya PC yako na windows gani unatumia kisha tuone solution.
 
PC DELL Ina muziki mono sound na stereo tu. Nisaidie iwe na bass
Ukitaka kuongeza bass kwanza lazima uapdate sound driver
kisha fanya hivi,
open sound setting>>sound control panel>>kisha kwenye playback chagua kama ni speakers au headphones>>itafunguka new windows kisha chagua enhancements>>> chagua bass boost>>> hapo hapo kwenye enhancements kwa chini kidogo kuna sehemu ya settings click hapo kisha badilisha settings za bass jinsi utakavyo>>> unaweza uka-preview kabla ujasave.

hopefully nitakuwa nimekusaidia mkuu.
 
Pc yangu Ina window 8.1 lakini haisupport wifi connection kwa simu za AP band 2.4GHz tatizo itakua Nini?
mkuu hapo kama vile sijakusoma vizuri, unamaanisha kuwa ukiwasha android personal hotspot au ukitaka ufanye sharing ya pc na simu yako??
 
Naombeni kujua bei ya laptop keyboard ya compact(v6000) , naomba kujua bei ya hdd 500gb na ram 4gb
hizi ni PC za muda kidogo ila nahisi keyboard zake azizid 50k, na kuhusu hiyo hdd 500 inategemeana na external au internal, kwa external nafikiri pia aizidi 100k na kwa internal nafikiri aizidi 50k, Ram 4gb inategemeana na DDR gani na pia sijajua ni ya laptop au Desktop but bei zao pia zina-range 40-60k

NB kila duka wana bei zao mkuu hiyo nimekupa assumption tu.
 
USB kuacha kusoma kwenye PC kuna uwezekano wa kuwa USB Driver za PC yako sio build inside motherboard, au zipo corrupted, au kwenye ku-update basi baadhi zimeshindwa kuendana na hiyo update mpya.

Taja aina ya PC yako na windows gani unatumia kisha tuone solution.
PC ni Lenovo na window 10
 
okay hapo inawezekana drivers zipo corrupted, unaweza kuziupdate upya kama una means yoyote ya internet
Unatumia driver updater software kama vile driver booster au unakunnect tu na internet Kisha window itaupdate automatic?
 
Unatumia driver updater software kama vile driver booster au unakunnect tu na internet Kisha window itaupdate automatic?
Njia yoyote unaweza kuitumia, windows 10 uwa inadownload drivers kupitia updates but muda mwingine updates zinachelewa kuja kutokana na patches za new updates zitakavyokuwa released ila kwa tatizo lako download hizo drivers online kupitia ao manufacture wa hiyo PC
 
Sorry naomba unielekeze naingilia wapi? Na naanzaje, au naingia Lenovo . Com au wapi?
 
Pc yangu Hp probook 6560b ina tatizo la driver za pci simple communication controller. Nimejaribu ku update kwa kutumia drive booster lakini naona zimegoma.
Nimejaribu ku update via windows update lakini bado zimegoma pia.
 
Attachments

  • drivers screenshot.png
    drivers screenshot.png
    19.5 KB · Views: 29
Habari, pc yangu nilikua natumia vizuri ikazima ghafla. Na tokea hapo haikuwaka tena wala kuonesha alama yoyote, Nikaipeleka kwa fundi akajaribu kufanya ufundi wake kinaishia kuwaka taa ya power halafu inazima. Akanipa majibu kwamba umeme unaingia tmkutokea kwenye power ila unaishia njiani kwasababu processor imeungua.

Akanijulisha kua kwa aina ya processor ya pc yangu ni haiwezi kubadilishika kwakua imeungwa ndani kwa ndani ni tofauti na processors za pc generation ya chini. Akanishauri ninunue motherboard nyingine. Sasa ningependa kufahamu kutoka kwenu kwa mujibu wa maelezo yake ni sahihi na pia kwa makadirio au uzoefu wenu kuhusu gharama za motherboard na ubora kwa ujumla.

Jina la pc : Dell inspiron 15 ( 5000 series)
Core 5 (7th Generation)
Model no. P66F001View attachment 2123742View attachment 2123743View attachment 2123744View attachment 2123745
20220219_102714.jpg
 
Back
Top Bottom