Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwenye power option disable suspend selectiveNimepambana nimeshindwa msaada zaidi USB port hazifanyi kazi. View attachment 2137098
Nakumbuka nilifanya hivyo, ikagoma ngoja nirudie tena. Mpaka nataka nireset PC je itaweza kurudisha mambo kama kawaida?Nenda kwenye power option disable suspend selective
Ahsante, ntaleta feedbackNenda kwenye power option disable suspend selective
ku reset mambo yatakaa sawa ila utapoteza application zako zote ulizo installAhsante, ntaleta feedback
wataalam habari zenu
Nimepata changamoto ya laptop yangu aina ya Hp pavilion ase ni mtambo kweli kubwa hilo.
Changamoto nayopata kwa muda huu ni Moja nikiwa na install windows 10 baada ya kubonyeza boot key ambayo kwa laptop hii ni F9 , logo ya windows 10 inatokea afu kinatokea kialama cha ku-load ambacho kinatokea kwa sekunde zisizozidi 3, baada ya hapo inaji-restart upya.
Kwa fundi nikaipeleka matokeo ya kawa ni yale yale. Hata wamejaribu ku-install window kwenye harddisk kupitia Labtop nyengine lakini bado hali imendelea kua hivyo hivyo.
Ushauri wowote utasaidia.
NB: hard disk drive hiyo ni mpya
Nimefanya kama ulivyosema, nikairestart lakini ikagoma katakata.Nenda kwenye power option disable suspend selective
Bora nipoteze, ni rahisi kuzipata zote. Lakini inamaana personal files inabidi niziweke kwende external hard disc maana zitafutika si Ndio?ku reset mambo yatakaa sawa ila utapoteza application zako zote ulizo install
Nimereset bado hali ni ngumu. Je kubadilisha window itakuwa solution bora?ku reset mambo yatakaa sawa ila utapoteza application zako zote ulizo install
Mkuu motherboard yangu imepiga short msaada ni samsung ativ mode noSio Kweli Mkuu, Inategemea Na PC.
pirate msaada katika hili
Thread 'Msaada: PC (laptop) yangu screen yake imebadili rangi kuwa pink' Msaada: PC (laptop) yangu screen yake imebadili rangi kuwa pink
Salaam chief,Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.
Karibuni sana wakuu
Pirate
Mimi pia nilikuwa natatizo hilo...nimetoa ram pia lakin bado inaishia kwa keyboard tu kuwa sio monitorCheki ram mkuu kwanza kama unaweza fungua then jarbu kuzitoa Kisha urudishe uone kama kutakuwa na mabadiliko
Pirate