Nishajaribu kuwasha bila battery bado ikagoma nshabadilisha adi chaja bado ivoivo aiwaki labda apo nijaribu hiyo hard resetMkuu hapo Tatizo ni battery limeisha kabisa au limegoma kucharge kabisaaa, jaribu kufanya hivi chomoa battery kisha jaribu kuwasha bila battery uone kama itawaka, kama ikiwaka izime alaf, fanya hard reset ya HP ( chomoa charger, chomoa battery, Toa CMOS battery, kisha shikilia button ya kuwashia kwa sekunde 10 hivi, japo CMos battery sio lazima sana pia)
Kama isipowaka jaribu na charger nyingine ambayo inatoa umeme sawa kwaajili ya Pc hiyo.
Fanya update ya drivers,imepoteza bluetooth
Je umeandaa vipi hiyo flash.inagoma kupga window mpya nkitia flash kuboot indow
Sema model ya PC yako ili upatiwe key combination za kubonyeza ili kuilazimisha PC iwake kupitia flash, pindi unapowasha.mkuu pc yangu
Drivers za Internet zimezinguaNina pc ya hp elitebook 6930p shida yake haiconnect na internet
lenovo x140eFanya update ya drivers,
Download ccleaner, kisha fanya update ya drivers zote itakazozionyesha
View attachment 2096528
Je umeandaa vipi hiyo flash.
- Nashauri: Tumia RUFUS : Rufus - Create bootable USB drives the easy way kuandaa flash yako.
Sema model ya PC yako ili upatiwe key combination za kubonyeza ili kuilazimisha PC iwake kupitia flash, pindi unapowasha.
mkuu inahitaji kulipia?Fanya update ya drivers,
Download ccleaner, kisha fanya update ya drivers zote itakazozionyesha
View attachment 2096528
Kuna option Tatumkuu inahitaji kulipia?
Jaman msaada wa product jey ya window 10 pro
Graphics card, Nunulia Ya Nje Au Peleka Kwa Fundi Mzoefu Afanye Reflow Ingawaje Ni Temporary Solution Permanent Ni Reballing Au Ubadili Hiyo Motherboard.Jaman desktop ya dell mara kwa mara inaleta blue screen of death, your pc run into problem halafu inajizima na kujiwasha kwa kucount asilimia 100 nimejaribu kutumia cmd ya sfc/scannow but naona tatizo bado nimejaribu kupiga window ila bado, tatizo nini wadau!!msaada wenu
Simu zinachaji ukichomeka UsbNaomba msaada usb port za hp pavilion hazi_respond
Nimejarbu ku_update window bado
Sawa PoleSimu inachaji kwa kufupi umeme unapita ila data file hazisomi ...flash imegoma kusoma...mouse imegoma
Yametokea matatizo manne kwa wakati mmoja
Usb port
Bluetooth
Wireless
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Battery ilikubaki Kwa masaa kadhaa tu ndani ya siku hiyo hiyo then ikazima mazimaa.Battery Iligoma Baada Ya Kufunga Hiyo PC Siku Hiyo Hiyo Au Ilikubal Then Ikakata Baada Ya Siku Kadhaa?
Ahsante kiongozi nitaleta mrejeshomkuu hapo wa msaada wa haraka naweza kukusaidia njia moja uifanye kabla ujaagiza maana inawezekana ikawa battery ni nzima bado'
kama unaweza jaribu kufungua alaf cheki hiyo cable ya battery maana nimeona ipo cable moja tu, toa battery alaf tumia pc kwa charger kama nusu saa hivi kisha baadae fungua pc tena toa cmos battery kama dk hivi alaf rudisha battery na CMOs alaf chomeka pc kwenye charger bila kuiwasha kama dk 10 kisha iwashe bila charger ikiwaka chomeka charger tena, inawezekana tatizo likawa limeisha.
utatupa mrejesho.