Tatizo lolote la PC/device

Habari
naomba unisaidie namna ya ku update window 8.1 , window key sina. window nilifanya kuwekewa na jamaa wa IT kwa sasa sina mawasiliano nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko na dell pc yanisumbua upande wa time inajireset kila nikiswitch off machine,nishabadilisha cmos battery lakini wapi.
 
Habari
naomba unisaidie namna ya ku update window 8.1 , window key sina. window nilifanya kuwekewa na jamaa wa IT kwa sasa sina mawasiliano nae

Sent using Jamii Forums mobile app
Activate kwa kutumia KMS Auto au activator yoyote kwanza Kisha ndio update

Or nitajie ni windows 8.1 ipi nijarb kuangalia kama nnazo key
Jarbu kuichomoa Kisha irudushe ikishindkana Zaid ya Mara moja ni hardware problem labda change hdd nyingne

# ukiona imekataa kwako jarb na kwa mwngne kwa uhakika Zaid ili upate uhakika Zaid

Pirate


Pirate
 
Mkuu hata kwenye system bios haifiki! Nimebadili CPU lakini tatizo lipo pale pale! Ukiiwasha tu inadisplay HP kisha inaganda!

Sent using Jamii Forums mobile app



ok BTW, nilishawahi kutumia toshiba ikiwa na tatizo kama ilo ila yenyewe ilikuwa inaganda ikishafika kwenye bios ila kuna mtu alinishauri nibadili AC, because sikuwa vizuri na hardware troubleshooting sasa cha kufanya kama ushauri tu jaribu kufanya HARD RESET ya pc yako
 
Naomba mnisaidie. Natumia modem ya vodacom kweny pc yeny window 10. Sasa leo ninaiweka kweny port inatoa mlio wa kukubar alafu inatoa tena mlio wa eject alafu haijitokez kabsa kweny screen. Nki lunch kwa kukrick sehem ambayo ipo inafunguka lakn nkijarbu kuunganisha inagoma coz hata network bar hazionesh. Naomben msaada wenu wadau.
 


kama unaweza jaribu kuangalia kama driver za hiyo moderm zinaonekana kwanza??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…