IRIOKO
JF-Expert Member
- Jan 19, 2016
- 279
- 268
HabariHabari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
naomba unisaidie namna ya ku update window 8.1 , window key sina. window nilifanya kuwekewa na jamaa wa IT kwa sasa sina mawasiliano nae
Sent using Jamii Forums mobile app