Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Yaan natak kufany right click bila kubonya ile batan ya mouse

"mwanaume mashine"

ok kuna sehemu nimeona hapa

jaribu hiv

kwenye hiyo mouse pad kuna two button ambazo uzion zipo kama left na right click katika normal mouse cha kufanya kama unataka fanya right-click , bonyeza upande wa pili wa hiyo touchpad yako mara 2 ili iweze ku-click na double click

kama ukiwa na need nyingine za kuitumia hiyo touch-pad soma hapa mkuu

Solved: How do I "right click" using the Acer track pad? ... - Acer Community - 299498
 
OK simply solution inawzekana ikawa ni CPU Inafanya over-heat (inapata joto) kupitiliza, so cha kufanya mpelekee huyo fundi labda aweke CPU cooler paste inaweza ikasaidia,

Or

Inawzekana pia motherboard sio compatible ni CPU aloiweka

Pirate
Pc yangu sijawahi kuipeleka kwa fundi wala haijawahi kufunguliwa lakini sasa nina miezi miwili, nikiiwasha baada ya muda fulani kama dk 30 au 40 inajizima yenyewe na hata nikiiwasha unawaka kawaida tu bila kuleta ujumbe wowote wa tatizo.

Sijui ufumbuzi ni kama huo uliomjibu mdau au mimi ni case tofauti?
 
Niliweka system recovery sasa naona inanisumbua kila nikifuta inarudi baada ya muda. Hiko kwenye local disc D

cha kufanya

nenda kwenye start kisha search - andika system

itakupeleka kwenye system upande wa kushoto kwa juu utaona kuna list ya links nne

we chagua system protection(
muda mwingine yaweza kukuliza administration privilege so just accept) kisha chagua hiyo drive ambayo utaki ifanye recovery/restore(uwa inakupa selection ya kuchagua drive C/D ) kwahiyo kama ni D basi click kisha kwa chini hapo utaona configure baada ya hapo itakulepeka kweye SYSTEM PROTECTION FOR LOCAL DISK D kuna maelekezo hapo but kuna selection button pia we chagua ya 3 imeandikwa TURN OFF SYSTEM PROTECTION kisha chini kabisa imeandikwa DELETE , baada ya hapo haitaweza kuja tena hilo folder la kufanya recovery

noTE: ushauri
baada ya hapo kama windows yako iki-fail basi uwez kufanya restore yoyote kwasababu restore/recovery kama ulikuwa unatumia kwenye D peke ake aiweze kuwepo tena so itakubidi utumie cd ambayo chance yake ni kama 50%, so kwa ushauri tumia C kama recovery point kusudi ata bahati mbaya ikiwa ime-fail utaweza kufanya restore kutokana na restore point ya last windows working properly .

hopefully itakusaidia mkuu kama bado usisite tuendelee kujuzana zaidi
 
Pc yangu sijawahi kuipeleka kwa fundi wala haijawahi kufunguliwa lakini sasa nina miezi miwili, nikiiwasha baada ya muda fulani kama dk 30 au 40 inajizima yenyewe na hata nikiiwasha unawaka kawaida tu bila kuleta ujumbe wowote wa tatizo.

Sijui ufumbuzi ni kama huo uliomjibu mdau au mimi ni case tofauti?

je inakuwa na joto kupitiliza yani namaanisha JOTO AMBALO SIO LA KAWAIDA?,
au UKIHISIKIA MUHUNGURUMO WA FAN NI MKUBWA SANAA KUPITILIZA YAN KAMA FAN INAUNGURUMA SANA NA KWA SAUTI KUBWA?, NA INAPOZIMA UWA UNAKUWA KATIKA MATUMIZI NAYO IPI YAN KILA MARA INAPOZIMA UWA UNAKUWA KATIKA SHUGHULI IPI?

ukishanijibu ndio ntajua jinsi ya kukusaidia kukujibu mkuu
 
Nina pc samsung min yenye panel juu, haitaki kuwaka (hai boot) msaada jamani
 
Nina pc yangu toshiba pot zake za kuingiza flash na kuconect other external devices zimekufa nimejaribu kuangalia driver zake naona zipo vizuri sijajua tatizo lipo wapi. Na kama tatizo lake lipo kwenye hardware ni vizuri nikajulishwa na gharama zake. Msaada wenu tafadhali
 
cha kufanya

nenda kwenye start kisha search - andika system

itakupeleka kwenye system upande wa kushoto kwa juu utaona kuna list ya links nne

we chagua system protection(
muda mwingine yaweza kukuliza administration privilege so just accept) kisha chagua hiyo drive ambayo utaki ifanye recovery/restore(uwa inakupa selection ya kuchagua drive C/D ) kwahiyo kama ni D basi click kisha kwa chini hapo utaona configure baada ya hapo itakulepeka kweye SYSTEM PROTECTION FOR LOCAL DISK D kuna maelekezo hapo but kuna selection button pia we chagua ya 3 imeandikwa TURN OFF SYSTEM PROTECTION kisha chini kabisa imeandikwa DELETE , baada ya hapo haitaweza kuja tena hilo folder la kufanya recovery

noTE: ushauri
baada ya hapo kama windows yako iki-fail basi uwez kufanya restore yoyote kwasababu restore/recovery kama ulikuwa unatumia kwenye D peke ake aiweze kuwepo tena so itakubidi utumie cd ambayo chance yake ni kama 50%, so kwa ushauri tumia C kama recovery point kusudi ata bahati mbaya ikiwa ime-fail utaweza kufanya restore kutokana na restore point ya last windows working properly .

hopefully itakusaidia mkuu kama bado usisite tuendelee kujuzana zaidi
Shukran sana wa elimu kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina pc yangu toshiba pot zake za kuingiza flash na kuconect other external devices zimekufa nimejaribu kuangalia driver zake naona zipo vizuri sijajua tatizo lipo wapi. Na kama tatizo lake lipo kwenye hardware ni vizuri nikajulishwa na gharama zake. Msaada wenu tafadhali

mkuu ni vizuri ikachekiwa kabla ya kuambiwa gharama because uwezi jua labda aina haja ya kubadilishwa hizo port ni inawezekana ikawa troubleshooting ya kawaida tu ikafanyika zikarudi vizuri, so kwa ushauri bora ufanye check up kwanza then ujue maana utaambiwa gharama ya kipya wakati inawezekana ikawa ni tatizo dogo tu so kama umecheki na ukaona unahitaji mpya sawa, but kama ujacheck basi kama pia unaweza fungua angalalia ndani na pia fanya relation na kusababishwa na hilo tatizo..../FOR ADVICE ONLY
 
Cheki ram mkuu kwanza kama unaweza fungua then jarbu kuzitoa Kisha urudishe uone kama kutakuwa na mabadiliko

Pirate
Nina tatizo kama hili kwenye laptop yangu samsung min, nimejaribu kutoa ama kubadirisha ram tatizo lipo vilevile, nimetoa hard disk na ram kuweka kwenye pc ingine vinafanya kazi vizur, huku vya pc ingine vikigoma kwenye hii pc yenye tatizo.
sababu inaweza ikawa nini kaka pirate maana ilizima tu ghafla.
 
Inaingiza moto? Labda charge!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom