bhahurugo
Member
- Jun 22, 2017
- 44
- 12
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan natak kufany right click bila kubonya ile batan ya mouseYani unataka kufanya right-click au just click??
Pirate
Niliweka system recovery sasa naona inanisumbua kila nikifuta inarudi baada ya muda. Hiko kwenye local disc DYani unataka kufanya right-click au just click??
Pirate
Njoo nikuwekee mimi mara ya mwisho, hapo hapo nakuelekeza.Wakuu naombeni mnielekeze namna ya kuweka window kwenye Pc,kiukweli nateseka na natumia gharama kuwekewa window kwa mafundi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan natak kufany right click bila kubonya ile batan ya mouse
"mwanaume mashine"
Pc yangu sijawahi kuipeleka kwa fundi wala haijawahi kufunguliwa lakini sasa nina miezi miwili, nikiiwasha baada ya muda fulani kama dk 30 au 40 inajizima yenyewe na hata nikiiwasha unawaka kawaida tu bila kuleta ujumbe wowote wa tatizo.OK simply solution inawzekana ikawa ni CPU Inafanya over-heat (inapata joto) kupitiliza, so cha kufanya mpelekee huyo fundi labda aweke CPU cooler paste inaweza ikasaidia,
Or
Inawzekana pia motherboard sio compatible ni CPU aloiweka
Pirate
Niliweka system recovery sasa naona inanisumbua kila nikifuta inarudi baada ya muda. Hiko kwenye local disc D
Pc yangu sijawahi kuipeleka kwa fundi wala haijawahi kufunguliwa lakini sasa nina miezi miwili, nikiiwasha baada ya muda fulani kama dk 30 au 40 inajizima yenyewe na hata nikiiwasha unawaka kawaida tu bila kuleta ujumbe wowote wa tatizo.
Sijui ufumbuzi ni kama huo uliomjibu mdau au mimi ni case tofauti?
Shukran sana wa elimu kubwa.cha kufanya
nenda kwenye start kisha search - andika system
itakupeleka kwenye system upande wa kushoto kwa juu utaona kuna list ya links nne
we chagua system protection(muda mwingine yaweza kukuliza administration privilege so just accept) kisha chagua hiyo drive ambayo utaki ifanye recovery/restore(uwa inakupa selection ya kuchagua drive C/D ) kwahiyo kama ni D basi click kisha kwa chini hapo utaona configure baada ya hapo itakulepeka kweye SYSTEM PROTECTION FOR LOCAL DISK D kuna maelekezo hapo but kuna selection button pia we chagua ya 3 imeandikwa TURN OFF SYSTEM PROTECTION kisha chini kabisa imeandikwa DELETE , baada ya hapo haitaweza kuja tena hilo folder la kufanya recovery
noTE: ushauri
baada ya hapo kama windows yako iki-fail basi uwez kufanya restore yoyote kwasababu restore/recovery kama ulikuwa unatumia kwenye D peke ake aiweze kuwepo tena so itakubidi utumie cd ambayo chance yake ni kama 50%, so kwa ushauri tumia C kama recovery point kusudi ata bahati mbaya ikiwa ime-fail utaweza kufanya restore kutokana na restore point ya last windows working properly .
hopefully itakusaidia mkuu kama bado usisite tuendelee kujuzana zaidi
Nina pc yangu toshiba pot zake za kuingiza flash na kuconect other external devices zimekufa nimejaribu kuangalia driver zake naona zipo vizuri sijajua tatizo lipo wapi. Na kama tatizo lake lipo kwenye hardware ni vizuri nikajulishwa na gharama zake. Msaada wenu tafadhali
Mkuu mm nipo Dom ...ww wapi mkuu??Njoo nikuwekee mimi mara ya mwisho, hapo hapo nakuelekeza.
Nitakuelekeza kwa kutumia flash na cd.
Nina tatizo kama hili kwenye laptop yangu samsung min, nimejaribu kutoa ama kubadirisha ram tatizo lipo vilevile, nimetoa hard disk na ram kuweka kwenye pc ingine vinafanya kazi vizur, huku vya pc ingine vikigoma kwenye hii pc yenye tatizo.Cheki ram mkuu kwanza kama unaweza fungua then jarbu kuzitoa Kisha urudishe uone kama kutakuwa na mabadiliko
Pirate
Inaingiza moto? Labda charge!Nina tatizo kama hili kwenye laptop yangu samsung min, nimejaribu kutoa ama kubadirisha ram tatizo lipo vilevile, nimetoa hard disk na ram kuweka kwenye pc ingine vinafanya kazi vizur, huku vya pc ingine vikigoma kwenye hii pc yenye tatizo.
sababu inaweza ikawa nini kaka pirate maana ilizima tu ghafla.