Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Haionekani/haisomi kabisa japo ninapoiweka kwenye umeme na kwenye TV au PC Inawaka taa kuonesha iko connected


Je ukiishika hiyo hard drives uisikii kama kitu kinazunguka, au mlio wowote?
 
External disk yangu ilidondoka na iliendela kusoma ila baada ya muda ikawa haisomi kwenye device yoyote, je kuna uwezekano wa kuirekebisha ikaendelea kufanya kazi?
Hard disk ni very delicate in case kama ulikuwa hujui... yaani kitendo cha kudondoka tu nyingi huwa hazisomi mazima baada ya kudondoka... kuna posibility ikawa ndo ishakufa
 
Nina MacBook Pro,nikijaribu kuconnect wi fi inasema....NO HARDWARE INSTALLED,imeanza ghafla hili tatizo
 
Back
Top Bottom