Nimejaribu kuangalia inspection report naona inaonyesha inspection date na valid until vinafanana yani inaisha siku hiyohiyo. Status pia inasoma expired.
Je kuna tatizo la mfumo wa ukaguzi kutoka Jeshi la polisi au kwa wale waliolipia kuanzia mwezi January na kuendelea mfumo hautambui ?
Wakuu mwenye ufafanuzi juu ya hili ?.
Nimejaribu kwenda police kinondoni - usalama barabarani wenyewe wajibu tu simple hawajui labda niende makao makuu.