Tatizo na Nyumba Ndogo...

Tatizo na Nyumba Ndogo...

hivi lile tangazo la ndovu milk staut liko wapi vile?nataka kulipa LIKE lifikie premium member liwe na accerss ya jukwa la wakubwa..
 
Hahahahahah wewe Kaizer utakamatwa haha si mwajidanganya eti ukitaka kula haramu, kula alonona na awe mbali na nyumbani?? sasa inakula kwenu aisee!
Umeona? ndio wanaanza hivi hivi!!! namfikishia Alter right now!:rant:
 
....oopppsss....

Yaani thamani ya nyumba ndogo mpaka agharamikiwe makaazi,
Mavazi, chakula, nk? ....am amazed....!
Nilidhani hata voucher ya mia tano 500/- "inaweza ponza kichwa!"
kwa kizazi hichi hamna binti mjinga. wanaingia kwapurpose.tatizo wanaume wanatuona hatuna vision ya maisha sijui.kuna bintihatamani kuwa na mume wake kweli? kuwa nyumba ndogo wanaamua tu kuacomplishkitu flani na hiyo mission inakuwa ni kwa muda maalum then mtu anatokahuko.hapo baba ushapoteza resource zako na muda wako kwa ujinga kulia huwezikucheka huwezi
unarudi kwa mkeo kuuguza pressure na kisukari
noti bandia ,mkufu feki
 
Hapa naongea katika FULL CAPACITY! lol Mwanajamiione abarikiwe sana kwa kuanzisha hii thread, wanaume wamefunguka kama vitabu, na wanawake pia. very insightful. It will be a reference for moths nakwambia. Haiwezi kutoka. lol Mwali nilimona anahangaika na makura, mwangalie asije pigwa ban, mods wako so strict leo...

...RR...kiatu humbana mvaaji...
waweza niona nimependeza na skuna zangu kumbe
ni maumivu mbele...

Usijencheka ukikuta lapa la shoto nimelivaa mguu wa
kulia, ni kwenye kutafuta balance tu...

I mean, unyuzi huu "...changanya na zako!"...
 
kwa kizazi hichi hamna binti mjinga. wanaingia kwapurpose.tatizo wanaume wanatuona hatuna vision ya maisha sijui.kuna bintihatamani kuwa na mume wake kweli? kuwa nyumba ndogo wanaamua tu kuacomplishkitu flani na hiyo mission inakuwa ni kwa muda maalum then mtu anatokahuko.hapo baba ushapoteza resource zako na muda wako kwa ujinga kulia huwezikucheka huwezi
unarudi kwa mkeo kuuguza pressure na kisukari
noti bandia ,mkufu feki

...you are so bitter aisee.. Mw' mungu akujaalie moyo kama wa mwj1.
 
...RR...kiatu humbana mvaaji...
waweza niona nimependeza na skuna zangu kumbe
ni maumivu mbele...

Usijencheka ukikuta lapa la shoto nimelivaa mguu wa
kulia, ni kwenye kutafuta balance tu...

I mean, unyuzi huu "...changanya na zako!"...
I know mkuu. Na ndio maana nimeamuakuacha kuchangia. I said what I had to say katika pages za kwanza, sasa nimebaki kusoma tu na kucheka. what else can I do?
 
Wengine tupo shule hapa, Kwahiyo tukiona mme ana nyumba ndogo tufanyaje? Tuwape baraka zetu au?
 
...you are so bitter aisee.. Mw' mungu akujaalie moyo kama wa mwj1.
I wish ningekuwa na moyo kama wa mwanajamii maana sinakiukweli
Ila kwa vile siibi cha mtu mungu atanipatia ulinzi wa mbinguni na changukisiliwe
 
Wengine tupo shule hapa, Kwahiyo tukiona mme ana nyumba ndogo tufanyaje? Tuwape baraka zetu au?

Lol...nikikushauri hutaamini siku yakikufika,
sikiliza moyo wako tu, BTW..hii ni 2012, dunia ni yako, chaguo ni lako...

I wish ningekuwa na moyo kama wa mwanajamii maana sinakiukweli
Ila kwa vile siibi cha mtu mungu atanipatia ulinzi wa mbinguni na changukisiliwe

...dahhh, umen'tia uchungu....pls have faith, dont live on hopes!
 
Lol...nikikushauri hutaamini siku yakikufika,
sikiliza moyo wako tu, BTW..hii ni 2012, dunia ni yako, chaguo ni lako...

hapo umenifanyia uchoyo wa maarifa. Najua nyumba ndogo zipo ila hakuna anayezifurahia. Wenye mioyo migumu kama ya mj1 hawajisumbui kupekenyeua kama mume ana nyumba ndogo au lah.
Swali, ikitokea umegundua inabidi kukabiliana nayo vipi?
 
basi kwa kukuweka sawa, ww mshukuru tu mungu yan maana its either mumeo ni kati ya hawa 3% ya wanaume hapa bongo ambao hawaentertain nyumba ndogo, kwa maana si muumini au yuko v smart yan kiasi kwamba hugundui lolote!
ol in ol usithubutu kukutwa ukagundua ndugu hawa viumbe nyumba ndogo wanachanganya watu wewe ooh, kuna wamama uku wanakaribia kuwa nusu chizi kwa kesi za nyumba ndogo,
kwa ss usijiulize wala nn, wewe mshukuru mungu na endelea kuona dunia inavyokwenda!
nyumba ndogo ni nouma.
 
  • Thanks
Reactions: Sal

Obssesd! he used to have those elements! yaani viashiria vyote vya kuwa na mtu mwingine zaidi yangu vilikuwepo ila nilipopata ushahidi mkononi na yeye akashindwa kukiri au kukataa ndio nikabwaga manyanga.............but from the begining hayo matatizo, hivyo viashiria sikuwa ninavihusisha na nyumba ndogo. Na hata sas ukiniuliza umemwacha kwa ajili gani nitakupa sababu nyingine kabisa ambazo kwangu ndo niliziona za msingi kuliko nyumba ndogo..............sijui kwa nini but nilikuwa na ile imani kuwa anayejidanganya ni yeye ila mie hanishtushi roho
 
...hahaha.....😛hoto:
To you............may I become your nyumba ndogo please! just say yes usianze kutafuta definition ya nyumba ndogo wala maana yake please, I will behave if there is such a thing!
 
Shemeji mie hata sijielewi ila tu ninachoelewa ni kuwa sihofii nyumba ndogo hata kidogo.

Basi wewe unajiamini kiasi kwamba hata brooooo kula nje kweke ni kwa nadra sana au hana kabisa na kama anayo basi na ya mtu hiyo anakula na ndio maana hata hakuna usumbufu kivile na kuwa kwako kimya na kuto hofia nyumba ndogo basi kunajenga sana kwa yeye kuto tizama sana nyumba ndogo.

wataka kuniambia hata wakati mkiwa mwa doooo humuulizi kuwa taaamuu yako hampi mtu mwingine kweli hachezei manyowa aaa ya kifua cha mumeo kweli teh teh

Hingera sana, inaonyesha unampenda sana mumeona hutaki kumuudhi. Huo ndio upendo wa kweli. endelea hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom