Tatizo na Nyumba Ndogo...

Tatizo na Nyumba Ndogo...

Belinda...I like ur perspective....halafu nimekumiss...in fact natafuta mwanasheria wa kunismamia kesi yangu ya uchaguzi...napinga matokeo, na mchakato, nataka hakimu atangaze the whole process null and void maana tume imekataza mgombea binafsi...I kind of self nominated my self.... (Sorry MJ1 hapa ndo nimemkuta Belinda)
 
...:A S-coffee:
Ndio, ni mimi hapa.....

Hahahahahaaaaaaaaaaaaaa we mtu mbona tunawaza yaliyo sawa?? hahaha Kaizer uko wapi kaka yangu njoo uanze kula mahari hapa
 
Kaizer!! unaishi dunia ya wapi jamani? Yaani hata hujui kuwa Mbu ni shemeji yako? Hebu mtambue rasmi aisee. wewe ndo utankabidhi ujue!

:focus: Hii thread inahusu wivu kwa nyumba ndogo lol

Hahahahahaaaaaaaaaaaaaa we mtu mbona tunawaza yaliyo sawa?? hahaha Kaizer uko wapi kaka yangu njoo uanze kula mahari hapa

Nimeona alivojibu fasta hapo.....ila issue za msingi zinabaki pale pale...

Nina tumai tu kwamba you love up to the signature.....hahahaha
 
...hasara tupu. Sijasikia mwenye nyumba ndogo isiyoishia na 'msiba!'
Na hii haijalishi nyumba ndogo ni mw'mke anayelelewa na suga-dadi,
au mw'ume anayefadhiliwa na cougar...

Nyumba ndogo ni xtra-effort, shida ya kujibebesha kabati la matatizo...
ushuhuda ni mrefu, nikiendelea nitakuwa siutendei haki unyuzi huu wa mwj1,
kuhusiana na masuala ya wivu.

:focus:
Hata mimi nimesema ivo mkuu sijawai kuona nyumba ndogoiliyoisha salama. Heri mtu kama umechoka kwa mamaa ufanye hit and run mahali.urudi home ukalale zako . hayo mambo ya kuinvest nyumba ndogo ni sawa na kujichimbia kaburi lako mwenyewe wadadawenyewe ndo sisi
Hii ni kweli kuna binti alikuja kufanya field ofsinikwetu kwa mwezi anapewa laki tatunasikia kuna mtu wa hapa hapa yupo nae
1-akawa anatafuta nyumba ya laki nne kwa mwezi
2-hzo pamba zake sasa blauzi tu 60,000 kwenda juu
3-anae mpenzi wakeyupo chuo
4-lunch yake naonaga plate tu lunch box yake haipungui5000
Sasa huyu mzee si anajichosha tu jamani
 
Orait, hongera, sasa basi tutajie kabisa na nyumba ndogo iliyopo hapa maana nyumba ndogo inaumaga kuliko kubwa...u know what I mean LOL:A S-coffee:

Acha wanga wewe loh kuwa akiitaja ndo uiendee hewani?? Mimi ni kubwa, ya kati na ndogo yaani 3 in 1 hahaha
 
Orait, hongera, sasa basi tutajie kabisa na nyumba ndogo iliyopo hapa maana nyumba ndogo inaumaga kuliko kubwa...u know what I mean LOL:A S-coffee:
Kaizer, chochote utakacho sema hapa will be used against you. Namfikishia AshaDii in the blink of an eye!
 
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaa we mtu mbona tunawaza yaliyo sawa?? hahaha Kaizer uko wapi kaka yangu njoo uanze kula mahari hapa

...kha? Niliposema wewe ni soulmate hukuelewa? " birds of feathers...!" :A S-coffee:
 
Hata mimi nimesema ivo mkuu sijawai kuona nyumba ndogoiliyoisha salama. Heri mtu kama umechoka kwa mamaa ufanye hit and run mahali.urudi home ukalale zako . hayo mambo ya kuinvest nyumba ndogo ni sawa na kujichimbia kaburi lako mwenyewe wadadawenyewe ndo sisi
Hii ni kweli kuna binti alikuja kufanya field ofsinikwetu kwa mwezi anapewa laki tatunasikia kuna mtu wa hapa hapa yupo nae
1-akawa anatafuta nyumba ya laki nne kwa mwezi
2-hzo pamba zake sasa blauzi tu 60,000 kwenda juu
3-anae mpenzi wakeyupo chuo
4-lunch yake naonaga plate tu lunch box yake haipungui5000
Sasa huyu mzee si anajichosha tu jamani

Hahahha hapo bado hajadai starlet kumkinga na jua! mbona kaka zetu mna kazi?
 
Orait, hongera, sasa basi tutajie kabisa na nyumba ndogo iliyopo hapa maana nyumba ndogo inaumaga kuliko kubwa...u know what I mean LOL:A S-coffee:

...hakunaga bana, ...nishatoa na ushahidi awali hasara za nyumba ndogo,
sasa nikienda kinyume na maandiko yangu si nitakuwa najisulubu mwenyewe? :A S-coffee:

Nimeona alivojibu fasta hapo.....ila issue za msingi zinabaki pale pale...

Nina tumai tu kwamba you love up to the signature.....hahahaha

...nimejibu fasta kwakuwa najiamini, naye namuamini...
 
Kaizer, chochote utakacho sema hapa will be used against you. Namfikishia AshaDii in the blink of an eye!

hahahhaa...is this supposed to be a warning from RR, or RR the MOD, or both...?

Plus, si umeona ninaomba mwanasheria hapo juu...anaweza kufaa kwa issue hii pia

Halafu, RR, hii sredi nadhani uipotezee kabla sijapata ban....please
 
Wapendwa je wote mu wazima?

Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.

Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi kupenda? au?
Je kuna mwenzangu/wenzangu ambao wana hali kama hii?

Shem nakuuliza je ni wewe unataka nyumba ndogo au?
Pia Nymba ndogo huwa zina harasa zake na faida zake jinsi utakvyo uchukulia huo uhusiano wa nyumba ndogo.

Na nyumba ndogo ikisha anza kuwepo tayari wakina dada/wakina mama hupoteza kabisa mwelekeo ndani ya akili zao na hutaka kutawala kabisa nyumba ndogo yaani ukiona maongezi yake ni kama anataka akumiliki na ahakikishe wewe umuwazii mkeo kabisaaaaaaa na hata kama ni mke wa mtu anakuwa nyumba ndogo hilo hatojali sasa hapo huwa me nawashangaa sana hawa wakina mama/dada aliye kwenye ndoa na asiye kwenye ndoa iyo hali huwakuta kabisaaa na kushindwa kui control kabisa.

Sasa wewe shem utuambia uanatanini. Yawezekana nature ime take place kama mwenzangu alivyo sema au jamaa anakufikisha vyema kiasi kwamba huoni wa husikii na kama ukiwa na hamu ya nyumba ndogo ikupenda labda wewe hujiweki katika hali ya kupendwa au kupenda au kutongozwa

...hakunaga bana, ...nishatoa na ushahidi awali hasara za nyumba ndogo,
sasa nikienda kinyume na maandiko yangu si nitakuwa najisulubu mwenyewe? :A S-coffee:

...nimejibu fasta kwakuwa najiamini, naye namuamini...

Kamanda.....'wanaume tumeumbwa matezo' hata Mbu, kikawaida kabisa akinyonya damu hadi kuwa mwekunduu na kukutwa kirahisi kwa kofi la binadamu, si kajisulubu? lakini haachi bana....:A S-coffee:
 
Hata mimi nimesema ivo mkuu sijawai kuona nyumba ndogoiliyoisha salama. Heri mtu kama umechoka kwa mamaa ufanye hit and run mahali.urudi home ukalale zako . hayo mambo ya kuinvest nyumba ndogo ni sawa na kujichimbia kaburi lako mwenyewe wadadawenyewe ndo sisi
Hii ni kweli kuna binti alikuja kufanya field ofsinikwetu kwa mwezi anapewa laki tatunasikia kuna mtu wa hapa hapa yupo nae
1-akawa anatafuta nyumba ya laki nne kwa mwezi
2-hzo pamba zake sasa blauzi tu 60,000 kwenda juu
3-anae mpenzi wakeyupo chuo
4-lunch yake naonaga plate tu lunch box yake haipungui5000
Sasa huyu mzee si anajichosha tu jamani

....oopppsss....

Yaani thamani ya nyumba ndogo mpaka agharamikiwe makaazi,
Mavazi, chakula, nk? ....am amazed....!
Nilidhani hata voucher ya mia tano 500/- "inaweza ponza kichwa!"
 
hahahhaa...is this supposed to be a warning from RR, or RR the MOD, or both...?

Plus, si umeona ninaomba mwanasheria hapo juu...anaweza kufaa kwa issue hii pia

Halafu, RR, hii sredi nadhani uipotezee kabla sijapata ban....please
Hapa naongea katika FULL CAPACITY! lol Mwanajamiione abarikiwe sana kwa kuanzisha hii thread, wanaume wamefunguka kama vitabu, na wanawake pia. very insightful. It will be a reference for moths nakwambia. Haiwezi kutoka. lol
 
Hahahha hapo bado hajadai starlet kumkinga na jua! mbona kaka zetu mna kazi?
Bado less wig.tax siku gari imemuacha baby? nk yaani anaishi kimatawi.kwa huyu mdada ndo niliona mfano live kwa wanaume jinsiwanavojitafutia matatizo ndo maana visukari na pressure haviwaishi
Maana sidhani kamakuna cha zaidi ya sex tena kimoja tu baada ya wiki mbili.
Huwa najiuliza wanaume huwa wanapata nini kwa kusexna wanawake tofaiti tofauti?
Nini special hapo?
 
Shem nakuuliza je ni wewe unataka nyumba ndogo au?
Pia Nymba ndogo huwa zina harasa zake na faida zake jinsi utakvyo uchukulia huo uhusiano wa nyumba ndogo.

Na nyumba ndogo ikisha anza kuwepo tayari wakina dada/wakina mama hupoteza kabisa mwelekeo ndani ya akili zao na hutaka kutawala kabisa nyumba ndogo yaani ukiona maongezi yake ni kama anataka akumiliki na ahakikishe wewe umuwazii mkeo kabisaaaaaaa na hata kama ni mke wa mtu anakuwa nyumba ndogo hilo hatojali sasa hapo huwa me nawashangaa sana hawa wakina mama/dada aliye kwenye ndoa na asiye kwenye ndoa iyo hali huwakuta kabisaaa na kushindwa kui control kabisa.

Sasa wewe shem utuambia uanatanini. Yawezekana nature ime take place kama mwenzangu alivyo sema au jamaa anakufikisha vyema kiasi kwamba huoni wa husikii na kama ukiwa na hamu ya nyumba ndogo ikupenda labda wewe hujiweki katika hali ya kupendwa au kupenda au kutongozwa

Shemeji mie hata sijielewi ila tu ninachoelewa ni kuwa sihofii nyumba ndogo hata kidogo.
 
Kamanda.....'wanaume tumeumbwa matezo' hata Mbu, kikawaida kabisa akinyonya damu hadi kuwa mwekunduu na kukutwa kirahisi kwa kofi la binadamu, si kajisulubu? lakini haachi bana....:A S-coffee:

....hahaha.... Mbu jike huyo anayejisahau mpaka anakurupushwa na kofi,
mbu dume kazi yetu ni "ku- buzzz..." kale kamziki kataamu maskioni mpaka ujifunue shuka...
 
Hapa naongea katika FULL CAPACITY! lol Mwanajamiione abarikiwe sana kwa kuanzisha hii thread, wanaume wamefunguka kama vitabu, na wanawake pia. very insightful. It will be a reference for moths nakwambia. Haiwezi kutoka. lol

Then Am out....:A S embarassed:
 
hahahhaa...is this supposed to be a warning from RR, or RR the MOD, or both...?

Plus, si umeona ninaomba mwanasheria hapo juu...anaweza kufaa kwa issue hii pia

Halafu, RR, hii sredi nadhani uipotezee kabla sijapata ban....please

:lol:

Hahahahahah wewe Kaizer utakamatwa haha si mwajidanganya eti ukitaka kula haramu, kula alonona na awe mbali na nyumbani?? sasa inakula kwenu aisee!
 
Back
Top Bottom