Tatizo na Nyumba Ndogo...

hivi ukiwa unapekua sms, email,..... za mwenzi wako unaweza epuka hizo virus?
sikulijua hilo

Kuna extrem cases katika both sides za coin! Kupekuwa Simu na emails is one of those ni sawa na kuacha mpaka mume anakutoa kitandani alalane na hawala yake! I have witnesed both cases!
 

Smile,

Kuna watu wana pesa hadi hawajui pa kuzitupa...Hujamwona huyu babu anayebembeleza makanisa ili awagawie?

Hata hivyo, wanaume wanaokubali upuuzi wa watoto wa namna hiyo wana matatizo...

Ndiyo maana, If I were to date a woman (not a girl), lazima angekuwa amezidi 35yrs....Huyo haweza kuomba omba kama Matonya!!

Hapa naongea katika FULL CAPACITY! lol Mwanajamiione abarikiwe sana kwa kuanzisha hii thread, wanaume wamefunguka kama vitabu, na wanawake pia. very insightful. It will be a reference for moths nakwambia. Haiwezi kutoka. lol

Mie nitaomba baada ya muda fulani..may be wk 2 tu na kwa idhini ya MJ1...Hili li-thread lifutwe kabisa...

Naamini wajukuu wanakubaliana na mie,



Nitafute siku nyingine nikupe maelezo ya kina,

Sasa hivi tunakaribia conclusion...hakuna nafasi tena ya kuanza kitu kipya!!


Naomba niwe mkweli katika hili. Not once! But am thinking of becoming one in the near future lol (Mbu usisome hapa tafadhali!)

Naenda kusema kwa baba....leo patachimbika...LOL!!






Hapa mkuu umejikunja si mchezo....

Hongera sana kwa kutumia nguvu zote hadi ile ya kwenye mkia.....

Babu DC
 
Last edited by a moderator:
The Boss alielewa hili toka post #2, just when you posted, but it took us ages kuelewa. (Thanks to Obsesed!)
Kila la kheri dear, just make sure you are true and honest to each other and mostly to yourself. Sisemi zaidi.

That's a great transformation.......

Mungu atakusaidia ili usije kukutana na haya mambao ya ajabu ajabu hata siku moja......!!

I hope utakuwa mwenye furaha, raha na amani kama Bibi DC....ni usingizi kwa kwenda mbele!!

Sana sana kinachomtisha ni hii MMU ya JF..na siyo tension ya small house!!


Babu DC!!
 

Nimekukubali Kipipi.....Hapa ni porojo na kila mtu anaishia kuwa mbayu wayu.....!!!

Safi sana,

Babu DC!!
 
Kuna extrem cases katika both sides za coin! Kupekuwa Simu na emails is one of those ni sawa na kuacha mpaka mume anakutoa kitandani alalane na hawala yake! I have witnesed both cases!
hii kali! kwa hiyo leo akikutoa umpishe, kesho utalala naye tena?
 
Hivi we nyamayao.............. ndo nini sasa hivyo? umeganda hapo dirishani unachungulia tu!! hebu bwana

ooohhh yeah,asubuhi nilichungulia kdgo sema majukumu yalinibana swir...naona umemuopoa Mbu, goodluck...lol....juzi mke mwenzangu kanical analialia, mie nipo ni mcba au? namuuliza kulikoni mke mwe, ananiambia mama yako kanijibu vibaya sana(mama mkwe)yupo kwake kwa matibabu, mke mwe alikuwa anamlalamikia mama mkwe kwamba mwanae anachelewa kurudi cjui nn na nn etc, mama mkwe akamwambia kama unataka wako peke yako umba/mchore, hahahha nilicheka mpaka maumivu walah, me luv mama mkwe wangu kwa mabomu aisee....jamani kueni muyaone!...
 
MJ1 yaani bishanga nikienda kona hujali? Basi hunipendi,full stop.
 
hii kali! kwa hiyo leo akikutoa umpishe, kesho utalala naye tena?

kuna habari niliisoma humu kama ckosei cjui ni mdada mwarabu au mume mwarabu alimletea mwanamke ndani kwenye kitanda chake akalala nae mpaka asubuhi mke akiwa amelala chumba cha watoto asubuhi ndio akaita binadamu kumshuhudia mke mwenzake, niliona kideo cha hilo 2kio nikasema wamama/wadada shida/tamaa/utegemezi vina2maliza kabisa,yanatokea haya but kwangu aisee kauli mbiu yangu cku zote ni kwamba tuheshimiane, ya hivi mie ningeharibu kabisa aise khaa, dharau gani hii?
 
MJ1 yaani bishanga nikienda kona hujali? Basi hunipendi,full stop.

mnapenda kuweka wenzenu macho wazi kisa upendo...hahaha mie cku hizi hata uje baada ya cku 3 wallaaa hata cmu yangu achia mbali sms hutaiona.....ukubwa jalala, m2 mzima achungwi kama mbuzi, tangu nimecheua kuandamana mbona yeye ndio anaandamana na me na hofu kibao, mkiendekezwa nyie ni homa ya manjano ati.
 
welcome back rafiki,
mpaka tuandamane ndo uje? siyo vizuri namna hiyo.................
kwa kweli hilo swala la kutolewa kitandani sijui nilizungumzie vipi......... ni kwamba huwezi kuishi bila huyo mume? hata kama ni utegemezi, hii ni TOO MUCH
 
swahiba hujaniasidia hata chembe....................... kubaf yako!!!

yeleeuwiiiiiiiiiiiiiiiiiii

hehehe swahiba bana, hapo certs za ulawyer zote zimetumika kuokoa jahazi lol
 
Lini unaongeza tena smol haus nyengine??
Mimi nipo katika ile asilimia tano ya wanaume waaminifu waliobakia Dar. Juzi tu waifu alikuwa hayupo home kuna mdada alikuja na hafla nikamuona anavua nguo mbele yangu, alipomaliza nikamuokotea nguo zake nikamwambia asiludie tena siku ya pili mimi na waifu ni kama titanic vile, sitamani zaidi ya waifu. Alishangaa khaaa! . Hakyanani uaminifu ni kipaji, waifu ana bahati kweli kuolewa na mimi.
 

hahahahaaaa.......sio kwamba ulihofia kukutwa na bwana pepsi??
 
Kama mtu umeridhika na maisha
Kitu kama nyumba ndogo ni mambo ya kawaida tu..
Chamuhimu huyo mwanaume akupe utakacho zaidi ya hapo akupende .
 
acha uzinzi dada
 
Ah... Ah.... Ah........ Ah......... Unaona utaaaaaaaaaaamu!

pal naona umemshinda shetani.. congrats
 

..hahaha...wewe kama mimi...nxt time mfungulie mistari ya mahubiri huku ukimkemea shetani "toka! Toka!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…