Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Hapo ndipo mnapokosea!
Hujaona mwanamke naye anacheat hata na mkata majani, unafikiri anatafuta nini? Kama mnavyoboreka na style na mazingira yale yale na sisi pia twaboreka. Imagine; mbaba katoka kwenye mibia yake, amekula sijui minini, kalewa na anakuja anakuparamia tu, utaenjoy sex? Hao nyumba ndogo mnawatoa kwenye exciting places now and then; ndio maana wanakuwa na hamu ya hiyo sex, (of course wapo kibiashara pia).
Mimi ninapenda ule ushauri wa Mbu, mtreat nyumba kubwa kama nyumba ndogo uone jinsi itakavyokuwa. Chumba kile kile, mazingira yale yale yanamboa mwanamke kama ikuboavyo wewe; na new places inamexcite the same way.
Kaunga,
Maisha ni kujifunza hata kama mvi zimeenea kila sehemu ya mwili....
Ila amini usiamini, wanaume wanachoka na mambo yale yale kutoka kwa mtu yule yule ila hawana kawaida ya kususa... Watajitahidi kwenda mdogo mdogo. Hata wakienda huko nje, watarudi home na kuomba wapakuliwe chakula cha mama watoto wale, hata kama ni gelesha!!
Kuna dada mmoja tulikuwa tunaongelea jambo fulani nikadhani amekuwa bored, nikamwomba tuache hiyo issue. Alinambia hivi, kwani na wewe DC unasusa kama wanawake?..Eti mwanamume hasusi hata mara moja...Sikuwa najua hili jambo ila naona kama kuna ukweli fulani!
Hapo tatizo ndipo linapoanzia....
Babu DC!!