Tatizo na Nyumba Ndogo...

Tatizo na Nyumba Ndogo...

Hapo ndipo mnapokosea!
Hujaona mwanamke naye anacheat hata na mkata majani, unafikiri anatafuta nini? Kama mnavyoboreka na style na mazingira yale yale na sisi pia twaboreka. Imagine; mbaba katoka kwenye mibia yake, amekula sijui minini, kalewa na anakuja anakuparamia tu, utaenjoy sex? Hao nyumba ndogo mnawatoa kwenye exciting places now and then; ndio maana wanakuwa na hamu ya hiyo sex, (of course wapo kibiashara pia).

Mimi ninapenda ule ushauri wa Mbu, mtreat nyumba kubwa kama nyumba ndogo uone jinsi itakavyokuwa. Chumba kile kile, mazingira yale yale yanamboa mwanamke kama ikuboavyo wewe; na new places inamexcite the same way.

Kaunga,

Maisha ni kujifunza hata kama mvi zimeenea kila sehemu ya mwili....

Ila amini usiamini, wanaume wanachoka na mambo yale yale kutoka kwa mtu yule yule ila hawana kawaida ya kususa... Watajitahidi kwenda mdogo mdogo. Hata wakienda huko nje, watarudi home na kuomba wapakuliwe chakula cha mama watoto wale, hata kama ni gelesha!!

Kuna dada mmoja tulikuwa tunaongelea jambo fulani nikadhani amekuwa bored, nikamwomba tuache hiyo issue. Alinambia hivi, kwani na wewe DC unasusa kama wanawake?..Eti mwanamume hasusi hata mara moja...Sikuwa najua hili jambo ila naona kama kuna ukweli fulani!

Hapo tatizo ndipo linapoanzia....

Babu DC!!
 
Nimegundua kuna wanawake ambao hawawalindi wanaume wao juu ya nyumba ndogo.
@dena amsi, hata kama haumfatilii mume, kwanini uruhusu mazingira ya yeye kuwa na smol house? Mume hajarudi wiki hata moyo usistuke kweli wakati sio kawaida yake!
Mi nikiolewa nitahakikisha narekebisha viashiria vyote kabla havijawa sugu, nitacreate mazingira ya yeye kutokuwa na mawazo ya kuwa na nyumba ndogo.
 
Hebu nijaribu kidogo kujibu....lol... Nikikosea of coz utanikosoa MJ1, Sababu zaweza kua zifuatazo....

  1. Umegundua there are a very few good men out there.... na ukimpata the one who is worth it, he respects you, loves you and takes care of you.... Unaposikia ana mwingine, you understand your fellow lady needs it too....
  2. Kwamba atleast unapopata taarifa ya nyumba ndogo washukuru atleast I know her.... for whether you like it or not probability ya yeye kuwepo ni kubwa whether to your knowlede or not.
  3. Ume mature.... Umejua unaposikia ana nyumba ndogo si kwamba anakukomoa, si kwamba hakupendi, na si kwamba you are less of what you were before... ila simply it is in most men's nature.
  4. You do not love him.... ila tu wamuhitaji katika maisha yako hivo whatever he does you do not give a damn!
  5. You are not selfish.... sharing is caring....:eyebrows:

BTW...It has been long dear..... Mzima wewe??

Hilo mimi ndo nalisimamia siku zote...........nandicho nakiamini
 
@kaunga

wanawake wengi wenye vyeo au busy
sex inakuwa kama by the way
ukimuona anacheat na dereva au mkata majani
jua mmewe hampi kabisa au anampa kwa masharti sana
anafanya kwa sababu biolojia inahitaji

huwezi mfuata kati kati ya muda wa kazi ukampe cha fasta
kwanza schedule inaweza kuwa tight
hadi kuwe na appointment ambayo pia inapunguza excitement.

Angalia hata wanamme walio busy sana afu wake zao wako aido kama mama wa nyumbani
hawa ndo huwa wana risk ya kumegewa hata na hausi boi.

Kadiri ubize unavyoongezeka, tamaa/hamu ya sex inapungua wote kwa wanamme na wanawake.
 
Karibu sana ADi na hope unaendelea vizuri,

Hapa umeongea kiutu uzima.....

I wish tungekuwa na wewe toka mwanzo!!

Babu DC!!

Mkuu DC... I am well and good. THANK U for checking up on me.... I appreciate. Hata hivo better late than never..... Ndio centi zangu hizo hapo nimerusha.... Nashukuru for the acknowledgement.....lol
 
ukiweza kufanya hivyo

nitaomba uandike pepa
maana utastahili dk ya uvumbuzi

hakuna kitu utamfanyia mwanamme
afikirie kutulia tu
they are explorers

Nimegundua kuna wanawake ambao hawawalindi wanaume wao juu ya nyumba ndogo.
@dena amsi, hata kama haumfatilii mume, kwanini uruhusu mazingira ya yeye kuwa na smol house? Mume hajarudi wiki hata moyo usistuke kweli wakati sio kawaida yake!
Mi nikiolewa nitahakikisha narekebisha viashiria vyote kabla havijawa sugu, nitacreate mazingira ya yeye kutokuwa na mawazo ya kuwa na nyumba ndogo.
 
@kaunga

wanawake wengi wenye vyeo au busy
sex inakuwa kama by the way
ukimuona anacheat na dereva au mkata majani
jua mmewe hampi kabisa au anampa kwa masharti sana
anafanya kwa sababu biolojia inahitaji

huwezi mfuata kati kati ya muda wa kazi ukampe cha fasta
kwanza schedule inaweza kuwa tight
hadi kuwe na appointment ambayo pia inapunguza excitement.

Angalia hata wanamme walio busy sana afu wake zao wako aido kama mama wa nyumbani
hawa ndo huwa wana risk ya kumegewa hata na hausi boi.

Kadiri ubize unavyoongezeka, tamaa/hamu ya sex inapungua wote kwa wanamme na wanawake.

U busy na nini? Watanzania kuna nyanja nyingine tuko busy zaidi ya mahusiano? Anyway correct me if am wrong....uthibitisho ni toka miaka hamsini ya uhuru hali yetu inazidi kudorora siku hadi siku...kila siku afadhali ya jana.
 
Wapendwa je wote mu wazima?

Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.

Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi kupenda? au?
Je kuna mwenzangu/wenzangu ambao wana hali kama hii?

Mkuu tulia kama ulivyo, nyumba ndogo sio kupenda ni kutamani!
 
Nimegundua kuna wanawake ambao hawawalindi wanaume wao juu ya nyumba ndogo.
@dena amsi, hata kama haumfatilii mume, kwanini uruhusu mazingira ya yeye kuwa na smol house? Mume hajarudi wiki hata moyo usistuke kweli wakati sio kawaida yake!
Mi nikiolewa nitahakikisha narekebisha viashiria vyote kabla havijawa sugu, nitacreate mazingira ya yeye kutokuwa na mawazo ya kuwa na nyumba ndogo.

Kua uyaone mtoto wa kike...ingelikuwa kama mambo mengine yana breki kama za gari, ungezikamata kabla mambo hayajaharibika. Ila hata ndege wajanja wananasa na tundu bovu, lol!
 
Unavyosema hali inadorora, unaongelea hali ya nini?
Hali ya mahusiano
hali ya uchumi?

U busy na nini? Watanzania kuna nyanja nyingine tuko busy zaidi ya mahusiano? Anyway correct me if am wrong....uthibitisho ni toka miaka hamsini ya uhuru hali yetu inazidi kudorora siku hadi siku...kila siku afadhali ya jana.
 
Nimegundua kuna wanawake ambao hawawalindi wanaume wao juu ya nyumba ndogo.
@dena amsi, hata kama haumfatilii mume, kwanini uruhusu mazingira ya yeye kuwa na smol house? Mume hajarudi wiki hata moyo usistuke kweli wakati sio kawaida yake!
Mi nikiolewa nitahakikisha narekebisha viashiria vyote kabla havijawa sugu, nitacreate mazingira ya yeye kutokuwa na mawazo ya kuwa na nyumba ndogo.

Hehe he he umeamua kunisema hadharani he msome AshaDii hapo chini kwenye red huo ndo msimamo wangu....Mwajuma

Hebu nijaribu kidogo kujibu....lol... Nikikosea of coz utanikosoa MJ1, Sababu zaweza kua zifuatazo....

  1. Umegundua there are a very few good men out there.... na ukimpata the one who is worth it, he respects you, loves you and takes care of you.... Unaposikia ana mwingine, you understand your fellow lady needs it too....
  2. Kwamba atleast unapopata taarifa ya nyumba ndogo washukuru atleast I know her.... for whether you like it or not probability ya yeye kuwepo ni kubwa whether to your knowlede or not.
  3. Ume mature.... Umejua unaposikia ana nyumba ndogo si kwamba anakukomoa, si kwamba hakupendi, na si kwamba you are less of what you were before... ila simply it is in most men's nature.
  4. You do not love him.... ila tu wamuhitaji katika maisha yako hivo whatever he does you do not give a damn!
  5. You are not selfish.... sharing is caring....:eyebrows:

BTW...It has been long dear..... Mzima wewe??

Umenisoma Mwajuma???:A S-coffee:
 
Nimegundua kuna wanawake ambao hawawalindi wanaume wao juu ya nyumba ndogo.
@dena amsi, hata kama haumfatilii mume, kwanini uruhusu mazingira ya yeye kuwa na smol house? Mume hajarudi wiki hata moyo usistuke kweli wakati sio kawaida yake!
Mi nikiolewa nitahakikisha narekebisha viashiria vyote kabla havijawa sugu, nitacreate mazingira ya yeye kutokuwa na mawazo ya kuwa na nyumba ndogo.

I salute you boss mwambie huyo ajue mweleze huyo naona bado ananyonya huyu

Kua uyaone mtoto wa kike...ingelikuwa kama mambo mengine yana breki kama za gari, ungezikamata kabla mambo hayajaharibika. Ila hata ndege wajanja wananasa na tundu bovu, lol!
 
FP,
akili za wanamme wanazijua wao

kuna dada mmoja, jirani angu
alisafiri kama miezi 3 na watoto wake 2
alivyorudi, akakuta mwanamke mwingine, tena mjamzito
akasema, nikiondoka baba K anaoa kabisa

walikuwa na vyumba 2
akawahi, akawalaza watoto mapema
akawahi kitandani kwao
wakalala wote 3 kitanda kimoja

ilifanyika kwa wiki nzima, badae yule mwanamke akaondoka
hadi leo wapo wanaendelea na ndoa yako

hii ilitokea mwaka 2004

kwa akili za kibinadamu, huwezi elewa kwa nini yule baba alimleta yule mwanamke mwingine kwake wakati anajua mkewe anarudi.
what?
huyo baba labda kama kaniroga, otherwise no way................. aoe tu
 
Enzi zetu,

Mwanamume wa namna hiyo ama alikuwa anaumwa ugonjwa wa akili au amerogwa...Immediately, mke wake alitakiwa kwenda kumtafutia mtaalamu wa kumkarabati.... Nasikia ilikuwa inafanyakazi hadi anarudia kuwa mzima kabisa!!

Babu DC!!
bora sikuwepo hizo enzi............. sijui kama ningeweza kutafuta hata huyo mtaalam
 
This is the type of discussion that changes my day from a sunny lovely to a rainy muddy one. . .
Mwanajamiione, nadhani sio lazima Nyumba Ndogo ikukere. wengine wanaona sawa tu. Binafsi kinacho nikera zaidi ni the lies involved. Kama mambo yote yanawekwa wazi, then people can take any decision knowing that it is based on facts, not assumptions.
Ukisema I have the perfect marriage, you know what you mean, ukisema I want to leave my man you know what you mean. But most of men lie to both Nyumba kubwa and Nyumba Ndogo who then believe in things that don't really exist and that is what makes it even uglier than it already is to me.

Alter mwenzio siku hizi sibishani na post.... Natoa mawazo yangu incase ninayo.... Tatatiiibu nasepa....lol
 
Unavyosema hali inadorora, unaongelea hali ya nini?
Hali ya mahusiano
hali ya uchumi?
Mdororo uko kila sehemu hata baada ya miaka hamsini ya uhuru.Mahusiano na uchumi vyote tuko hoi,lol!
 
Alter mwenzio siku hizi sibishani na post.... Natoa mawazo yangu incase ninayo.... Tatatiiibu nasepa....lol

Utakosa kuchukua kombe usipoweza kubishana madam...learn the tricks and stay ahead of the game
 
When I was 4, I thought as a 4 years old and had so many plans up to when I grow up.
When I was 12, I couldn't wait for some stuff to happen in my life
When I was 18, I had so many opinions on how I would make it right and correct all the mistakes of my whole clan
Now that I am here, on the top and looking at the aerial view of the big picture, I realise my ancestors were wiser.
I wanna be 4, worry about the school porridge and if my nanny would let me sneak my friends into the house after school and before I write my numbers!
Husninyo, this is for you gal. Kweli kua uyaone, utagundua mamako alikuzidi akili na ujanja pia!
 
MJ1 sio kwamba una tatizo ILA umekuwa. umeanza kuelewa na kujielewa which is a good thing. Enzi za kuishi kwa kufikiria namna ya kupambana na nyumba ndogo, zinaishia kwen teens na mid twenties huko!

Hongera , umekua!

Mweeeeh!!!:shock:
 
Utakosa kuchukua kombe usipoweza kubishana madam...learn the tricks and stay ahead of the game

I am always in for a fight... My claws all OUT!! If he is MY Man and worth fighting for.... I WILL (With intelligence, won't lift a finger) but by GOD I won't let go that easily... BUT of course if indeed is one of them wenye nyumba ndogo.... Ahakikishe NISIJUE! Na ofcoz siwezi vutiwa na mwanaume mzembe to the extent aweza fanya uzembe wife ajue hio nyumba ndogo....
 
Back
Top Bottom