Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
NN hili nalo neno............tatizo ni kuwa angalau ukiona dalili unawezahisi kuwa ndio mambo ya nyumba ndogo but mimi kuhusisha mabadiliko ya mwenzi wangu na nyumba ndogo inanichukua muda sana, ila haimaanishi kuwa nikigundua inahusika sitachukua hatua ila tu sitishiki nayo. Yaani ile ya oh nifanye hili ili niibeat nyumba ndogo mwe sina ndo maana nahisi nina tatizo.

MJ1 sio kwamba una tatizo ILA umekuwa. umeanza kuelewa na kujielewa which is a good thing. Enzi za kuishi kwa kufikiria namna ya kupambana na nyumba ndogo, zinaishia kwen teens na mid twenties huko!
Hongera , umekua!
Aisee kuna wazee hapo wa mwaka 47....eti wanatufundisha kuishi kwa matumaini, ....hahahah thubutuu!!!!
Kwani vipi Kipipi?
Wewe unataka kufa kwa shinikizo la damu?
Babu DC
Aaah wapiii.....hafi mtu kwa shinikizo la damu hapa!! Siwezi kujizoelesha eti hata nikimfumania niwe nishazoea.....vile vile hakuna ambulensi itayokuja kunizoa kwenda hospitali!!! Nina uhakika na kichwa changu babu........
Word!!! One of my co-worker, aliyekula decades kama sita hivi anakwambia ukiona bado moyo unauma-uma hata ukiona mama chanjila anasmile na mtu, ujue directly hujakua na hujui maana ya mapenzi, "you are simply possessed" by your partnerNdo maana sie wa miaka ile ya 1947 tunasema kwamba mtu anayesema maneno kama haya (full hekima, hakuna ubangaizaji na upofu wa mapezi), anakuwa ameona masika na viangazi vya kutosha....
Au waswahili wanasema keshaona rangi zote za dunia hii......
Baadhi ya wajukuu zangu hawawezi kukuelewa ......and it's not their fault!!
Babu DC!!
Aisee! RR.... pole darling!MTM My dear
If one respects his wife and the promise he made to her mbele ya Mungu kanisani, mbele ya Serikali ya Nchi yake na Mbele ya wazazi wao wote, ndugu, jamaa na marafiki, one doesn't get a nyumba ndogo, one doesn't cheat on his wife.
Nyumba ndogo ni alama ya kukosa both upendo na heshima kwa mke wa ndoa, na kwa anae cheat mwenyewe. A real man don't just say to people he meets out there kwamba he is a married man, he acts like one.
The same is valid for real women.
hebu acha kauli tata na wewe....pole sana kwa kukuzwa kabla ya muda............. kwa umri wako sasa ilibidi ndo uwe wale wanaoamini heaven on earth! lol!
jamani msiniulie RR wangu...Aisee! RR.... pole darling!
Hivi unaamini viapo vyote huwa for real? Hivi unaweza amini kuwa wakati watu wengine wakiwa wanaapa mawazo yao yako kwingine kabisa? Hivi weye unaangalia tamthilia? Waujua usanii weye?
Ushasikia habari kuna watu wanatoka gesti kumegana na vibustani vyao then wanaenda kanisani/msikitini kufunga ndoa? Ushasikia habari watu wanaenda honeymoon kumbe next room viko vibustani vyao? Yaani unaagwa kwamba naenda punga upepo kidogo kumbe anaenda next room kwa kimada wake?
Au ushasikia haka kahabari kuwa zaidi ya 75% ya wanandoa wameoa/kuolewa na watu wasiowapenda? Unategemea nini hapo?
Fungua macho mama na ujue kuwa nyumba ndogo hazikwepeki ila omba Mungu akusaidie usiijue manake...dah!
pole sana kwa kukuzwa kabla ya muda............. kwa umri wako sasa ilibidi ndo uwe wale wanaoamini heaven on earth! lol!
Hahahaha...... mate bana. Unaleta siasa MMU? Yaani kama hawa wabunge wanavyoapa kuisimamia katiba na kuwapigania wananchi lakini ndo hao hao wanaotunyonya kwa kujilimbikizia miposho kibao.jamani msiniulie RR wangu...
tukija kwenye viapo... yeleuwiii, tuna rais aliapa kwa kushika mshafu kutetea tanzania na kulinda watanzania hasa wanyonge, sijui hata kama anakumbuka alimshirikisha Mungu
Kwa hiyo ndo una justfy the unjustifiable au?Aisee! RR.... pole darling!
Hivi unaamini viapo vyote huwa for real? Hivi unaweza amini kuwa wakati watu wengine wakiwa wanaapa mawazo yao yako kwingine kabisa? Hivi weye unaangalia tamthilia? Waujua usanii weye?
Ushasikia habari kuna watu wanatoka gesti kumegana na vibustani vyao then wanaenda kanisani/msikitini kufunga ndoa? Ushasikia habari watu wanaenda honeymoon kumbe next room viko vibustani vyao? Yaani unaagwa kwamba naenda punga upepo kidogo kumbe anaenda next room kwa kimada wake?
Au ushasikia haka kahabari kuwa zaidi ya 75% ya wanandoa wameoa/kuolewa na watu wasiowapenda? Unategemea nini hapo?
Fungua macho mama na ujue kuwa nyumba ndogo hazikwepeki ila omba Mungu akusaidie usiijue manake...dah!
jamani msiniulie RR wangu...
tukija kwenye viapo... yeleuwiii, tuna rais aliapa kwa kushika mshafu kutetea tanzania na kulinda watanzania hasa wanyonge, sijui hata kama anakumbuka alimshirikisha Mungu
Kwa hiyo ndo una justfy the unjustifiable au?
hakuna ujustifiable justification my dear, kama amejustify ina maana ndio justification yenyewe:rant::rant::rant:Kwa hiyo ndo una justfy the unjustifiable au?
Wapendwa je wote mu wazima?
Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.
Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi kupenda? au?
Je kuna mwenzangu/wenzangu ambao wana hali kama hii?
kweli aisee NN amebaki na msimamo uleule... :A S embarassed:Kaka,
Haya mambo tunayaongea kutokana na uzoefu au habari za jumla jumla tunaziona na kuzipata kutoka kwenye mazingira yetu. Haina maana kwamba hakuna watu ambao wanaishi maisha yao yote bila kujihusisha na mambo ya cheating...
Ki ukweli wapo wengi sana (na wengine tuko kundi hilo ingawa ni ngumu kumuaminisha mtu mwingine)!!
Ndiyo maana kwenye hili suala namnyooshea mikono NN....Msimamo wake umebaki ni ule ule jana, leo na may be many more years to come!
Babu DC!!