Tatizo na Nyumba Ndogo...

Tatizo na Nyumba Ndogo...

NN hili nalo neno............tatizo ni kuwa angalau ukiona dalili unawezahisi kuwa ndio mambo ya nyumba ndogo but mimi kuhusisha mabadiliko ya mwenzi wangu na nyumba ndogo inanichukua muda sana, ila haimaanishi kuwa nikigundua inahusika sitachukua hatua ila tu sitishiki nayo. Yaani ile ya oh nifanye hili ili niibeat nyumba ndogo mwe sina ndo maana nahisi nina tatizo.

Okay, nimekuelewa!
 
Ndo maana sie wa miaka ile ya 1947 tunasema kwamba mtu anayesema maneno kama haya (full hekima, hakuna ubangaizaji na upofu wa mapezi), anakuwa ameona masika na viangazi vya kutosha....

Au waswahili wanasema keshaona rangi zote za dunia hii......

Baadhi ya wajukuu zangu hawawezi kukuelewa ......and it's not their fault!!

Babu DC!!
 
MJ1 sio kwamba una tatizo ILA umekuwa. umeanza kuelewa na kujielewa which is a good thing. Enzi za kuishi kwa kufikiria namna ya kupambana na nyumba ndogo, zinaishia kwen teens na mid twenties huko!

Hongera , umekua!

Ulikuwa wapi kaka?

Yaani umefanya kazi ambayo imetuweka hapa karibia masaa 3 sasa!!

Ndo maana wengine mnastahili kabisa, kwenda bank kuangalia balance kila mwisho wa mwezi!!

Babu DC!!
 
Aisee kuna wazee hapo wa mwaka 47....eti wanatufundisha kuishi kwa matumaini, ....hahahah thubutuu!!!!
 
Kwani vipi Kipipi?

Wewe unataka kufa kwa shinikizo la damu?

Babu DC
 
Aaah wapiii.....hafi mtu kwa shinikizo la damu hapa!! Siwezi kujizoelesha eti hata nikimfumania niwe nishazoea.....vile vile hakuna ambulensi itayokuja kunizoa kwenda hospitali!!! Nina uhakika na kichwa changu babu........
 
Hicho kichwa chako kinakuambiaje Kipipi?

Kwamba uwe kama mlinzi wa Group 4 security 24/7 kuchunga mali zako usiibiwe?

Babu DC!!
 
Ndo maana sie wa miaka ile ya 1947 tunasema kwamba mtu anayesema maneno kama haya (full hekima, hakuna ubangaizaji na upofu wa mapezi), anakuwa ameona masika na viangazi vya kutosha....

Au waswahili wanasema keshaona rangi zote za dunia hii......

Baadhi ya wajukuu zangu hawawezi kukuelewa ......and it's not their fault!!

Babu DC!!
Word!!! One of my co-worker, aliyekula decades kama sita hivi anakwambia ukiona bado moyo unauma-uma hata ukiona mama chanjila anasmile na mtu, ujue directly hujakua na hujui maana ya mapenzi, "you are simply possessed" by your partner

Wengi tuko kwenye hizo angle especially katika ile state ya naivety.... ila ukishalamba mishale kama saba nane hivi aaah unagundua kabisa kwamba wazee wetu wametoka mbali

Kuna mtu alisema in life, simply because umepndaye si wewe, basi 65% ni alama ya juu sana kwani kuna wakati hata sisi wenyewe tujiangalia kwenye vioo sometimes huwa hatuamini ni sisi :nerd:
duh.jpg
 
Nasikitika hii thread nimeikuta imeshazeeka.

Ila kiukweli nyumba ndogo kwa maana yoyote vile inavyoeleweka, au kwa lugha rahisi zaidi infidelity/cheating kwa wanaume ni inevitable.

Mwanamke yeyote anayeona hii ishu haimpi sana shida anakuwa ameshakuwa kwa maana ya kukua kiutu uzima.

Hongera mjukuu mtiifu kwa kuwa hakika sasa wewe umeshakua sasa.

Kwa wale wanaopinga na kutoelewa hii kitu huwa mara nyingi ni wale:
1. Wako kwenye penzi jipya na changa
2. Wako kwenye penzi la kwanza
3. Wamependwa na mtu mmoja tu katika maisha yao
4. Wamempenda mtu mmoja tu
5. Wanaishi katika mapenzi ya kitamthilia zaidi
6. Wameingia katika utumwa wa mapenzi ya kiimani hasa imani za kidini
7. Wanaamini kuwa wanapendwa wao tu

Yaani ngoja nikapate kongoro niondoe hangover afu nione kama nimeeleweka.
 
MTM My dear

If one respects his wife and the promise he made to her mbele ya Mungu kanisani, mbele ya Serikali ya Nchi yake na Mbele ya wazazi wao wote, ndugu, jamaa na marafiki, one doesn't get a nyumba ndogo, one doesn't cheat on his wife.
Nyumba ndogo ni alama ya kukosa both upendo na heshima kwa mke wa ndoa, na kwa anae cheat mwenyewe. A real man don't just say to people he meets out there kwamba he is a married man, he acts like one.
The same is valid for real women.
Aisee! RR.... pole darling!
Hivi unaamini viapo vyote huwa for real? Hivi unaweza amini kuwa wakati watu wengine wakiwa wanaapa mawazo yao yako kwingine kabisa? Hivi weye unaangalia tamthilia? Waujua usanii weye?

Ushasikia habari kuna watu wanatoka gesti kumegana na vibustani vyao then wanaenda kanisani/msikitini kufunga ndoa? Ushasikia habari watu wanaenda honeymoon kumbe next room viko vibustani vyao? Yaani unaagwa kwamba naenda punga upepo kidogo kumbe anaenda next room kwa kimada wake?

Au ushasikia haka kahabari kuwa zaidi ya 75% ya wanandoa wameoa/kuolewa na watu wasiowapenda? Unategemea nini hapo?

Fungua macho mama na ujue kuwa nyumba ndogo hazikwepeki ila omba Mungu akusaidie usiijue manake...dah!
 
jamani msiniulie RR wangu...

tukija kwenye viapo... yeleuwiii, tuna rais aliapa kwa kushika mshafu kutetea tanzania na kulinda watanzania hasa wanyonge, sijui hata kama anakumbuka alimshirikisha Mungu
 
pole sana kwa kukuzwa kabla ya muda............. kwa umri wako sasa ilibidi ndo uwe wale wanaoamini heaven on earth! lol!

Who is responsible for that? Mtu ujikuze mwenyewe halafu uwasingizie wengine ndo wanahusika. Unless we take charge of our own life and mistakes, it does not help to push the problems to others!!
 
jamani msiniulie RR wangu...

tukija kwenye viapo... yeleuwiii, tuna rais aliapa kwa kushika mshafu kutetea tanzania na kulinda watanzania hasa wanyonge, sijui hata kama anakumbuka alimshirikisha Mungu
Hahahaha...... mate bana. Unaleta siasa MMU? Yaani kama hawa wabunge wanavyoapa kuisimamia katiba na kuwapigania wananchi lakini ndo hao hao wanaotunyonya kwa kujilimbikizia miposho kibao.

Watumishi wa Mungu wanaapa kuubiri neno la Mungu na kuzilinda "katiba" za Mungu lakini ndo hao hao waasherati, wazinifu na mabasha wa kutupwa!
 
Aisee! RR.... pole darling!
Hivi unaamini viapo vyote huwa for real? Hivi unaweza amini kuwa wakati watu wengine wakiwa wanaapa mawazo yao yako kwingine kabisa? Hivi weye unaangalia tamthilia? Waujua usanii weye?

Ushasikia habari kuna watu wanatoka gesti kumegana na vibustani vyao then wanaenda kanisani/msikitini kufunga ndoa? Ushasikia habari watu wanaenda honeymoon kumbe next room viko vibustani vyao? Yaani unaagwa kwamba naenda punga upepo kidogo kumbe anaenda next room kwa kimada wake?

Au ushasikia haka kahabari kuwa zaidi ya 75% ya wanandoa wameoa/kuolewa na watu wasiowapenda? Unategemea nini hapo?

Fungua macho mama na ujue kuwa nyumba ndogo hazikwepeki ila omba Mungu akusaidie usiijue manake...dah!
Kwa hiyo ndo una justfy the unjustifiable au?
 
jamani msiniulie RR wangu...

tukija kwenye viapo... yeleuwiii, tuna rais aliapa kwa kushika mshafu kutetea tanzania na kulinda watanzania hasa wanyonge, sijui hata kama anakumbuka alimshirikisha Mungu

Kaka,

Haya mambo tunayaongea kutokana na uzoefu au habari za jumla jumla tunaziona na kuzipata kutoka kwenye mazingira yetu. Haina maana kwamba hakuna watu ambao wanaishi maisha yao yote bila kujihusisha na mambo ya cheating...

Ki ukweli wapo wengi sana (na wengine tuko kundi hilo ingawa ni ngumu kumuaminisha mtu mwingine)!!

Ndiyo maana kwenye hili suala namnyooshea mikono NN....Msimamo wake umebaki ni ule ule jana, leo na may be many more years to come!

Babu DC!!
 
Kwa hiyo ndo una justfy the unjustifiable au?

Huyo ndiyo Babu Aspirin,

Hata hivyo jipe moyo kwani bado watoto wazuri wapo wengi na wengine unawajua mwenyewe...Sina sababu ya kukutajia!!!

Au umesahau?

Babu DC!!
 
Kwa hiyo ndo una justfy the unjustifiable au?
hakuna ujustifiable justification my dear, kama amejustify ina maana ndio justification yenyewe:rant::rant::rant:

ntakutandika bakora asa ivi, naona unaleta utani asubuhi hii:rant::rant::rant::rant:
 
Wapendwa je wote mu wazima?

Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.

Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi kupenda? au?
Je kuna mwenzangu/wenzangu ambao wana hali kama hii?

Nyumba ndogo ya Mr. zinajua kucheza ndani ya mipaka hazivuki mipaka zingevuka mipaka ungekuwa kama mbogo aliyejeruhiwa
 
Kaka,

Haya mambo tunayaongea kutokana na uzoefu au habari za jumla jumla tunaziona na kuzipata kutoka kwenye mazingira yetu. Haina maana kwamba hakuna watu ambao wanaishi maisha yao yote bila kujihusisha na mambo ya cheating...

Ki ukweli wapo wengi sana (na wengine tuko kundi hilo ingawa ni ngumu kumuaminisha mtu mwingine)!!

Ndiyo maana kwenye hili suala namnyooshea mikono NN....Msimamo wake umebaki ni ule ule jana, leo na may be many more years to come!

Babu DC!!
kweli aisee NN amebaki na msimamo uleule... :A S embarassed:
 
Back
Top Bottom