Chauro
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 2,968
- 1,478
Kaunga labda tutumie njia ya kufungana kamba na makofuli kucontrol hayo au we waonaje?
Waweza epuka pressure lakini ukapata Virus vya HI au Herpatisis
au magonjwa mengine yanayoambukiza kwa njia ya body fluid exchange!
Mimi nilifikiri mkiwa wanandoa mnakuwa mwili mmoja