Waweza epuka pressure lakini ukapata Virus vya HI au Herpatisis
au magonjwa mengine yanayoambukiza kwa njia ya body fluid exchange!
Mimi nilifikiri mkiwa wanandoa mnakuwa mwili mmoja
ni kweli
kuna umri eti nilikua naamini kabisa nachoambiwa na mwanamme?
Siku hizi nimechange mentality kabisa
'guility until proven innocent'
basi imebaki kula maisha tu.
Kaunga labda tutumie njia ya kufungana kamba na makofuli kucontrol hayo au we waonaje?
Aksante sana Kaunga hiyo Bold hiyo nadhani wanaume wengi wanajidanganya kuwa once ni nyumba ndogo yake then she will be his and his alone. Hii natamani waisome kwa sauti hata kama wako kwenye mkutano.si kihivyo!
Mtazamo wangu, ni kuwa issue ya mwanaume kuwa na nyumba ndogo isiwe ignored totally. Ukipata mwaminifu you have to thank God for that, lkn wengi si waaminifu; so better discuss, mara kwa mara madhara yanayoweza tokana na hiyo cheating. Ukiangalia chain ya wapenzi, kweli waweza kufa na pressure. majority ya nyumba ndogo wana watu wengine apart from 'ur' husband. another sad fact, both wanawake na wanaume wengi hawaPENDI condom na kwamba hawezi kuwa na mahusiano ya more than a month na mtu wakaendelea kutumia condom.
Kuna uzi fulani AshaDii alisema anaprefer mumewe kuliko kuwa na nyumba ndogo bora awe anaHIT N RUN pale hizo test whatever alizosema MTM zikipamba.
Kuignore uwepo wa nyumba ndogo hakufanyi isiwepo but rather kunampa mwanaume amani ili mradi tu afuate Mwongozo wa the Boss
si kihivyo!

Kweli kabisa Kaunga,
But yet..kila mtu anabaki na mwili wake...
Unapaelewa hapo??
Babu DC!!
Sheria mojawapo ya nyumba ndogo ni kuprovideutamu kuliko nyumba kubwa ,kumbuka mwanaume kwa wife hatumii condomu ili kumretain nyumba ndogo nae hawezikukubali kutumia kondomusi kihivyo!
Mtazamo wangu, ni kuwa issue ya mwanaume kuwa na nyumba ndogo isiwe ignored totally. Ukipata mwaminifu you have to thank God for that, lkn wengi si waaminifu; so better discuss, mara kwa mara madhara yanayoweza tokana na hiyo cheating. Ukiangalia chain ya wapenzi, kweli waweza kufa na pressure. majority ya nyumba ndogo wana watu wengine apart from 'ur' husband. another sad fact, both wanawake na wanaume wengi hawaPENDI condom na kwamba hawezi kuwa na mahusiano ya more than a month na mtu wakaendelea kutumia condom.
Kuna uzi fulani AshaDii alisema anaprefer mumewe kuliko kuwa na nyumba ndogo bora awe anaHIT N RUN pale hizo test whatever alizosema MTM zikipamba.
Kuignore uwepo wa nyumba ndogo hakufanyi isiwepo but rather kunampa mwanaume amani ili mradi tu afuate Mwongozo wa the Boss
MJ1 nimekupata uzuri hapa...NN hili nalo neno............tatizo ni kuwa angalau ukiona dalili unawezahisi kuwa ndio mambo ya nyumba ndogo but mimi kuhusisha mabadiliko ya mwenzi wangu na nyumba ndogo inanichukua muda sana, ila haimaanishi kuwa nikigundua inahusika sitachukua hatua ila tu sitishiki nayo. Yaani ile ya oh nifanye hili ili niibeat nyumba ndogo mwe sina ndo maana nahisi nina tatizo.
Aksante sana Kaunga hiyo Bold hiyo nadhani wanaume wengi wanajidanganya kuwa once ni nyumba ndogo yake then she will be his and his alone. Hii natamani waisome kwa sauti hata kama wako kwenye mkutano.
Tatizo wanaume ni rahisi kudanganyikaespecially mume wa mtu.anajiamini kuwa mwanamke huyu as long nampa kila kitu ninammiliki mwenyewe.lakinikumbuka hamna mwanamke anaeweza kukubalikufa kifo cha kinyumba ndogo anakuwa yupo macho juu anasearch anampa huyu ,anampa Yule hadi apate atakaembeba jumla.Aksante sana Kaunga hiyo Bold hiyo nadhani wanaume wengi wanajidanganya kuwa once ni nyumba ndogo yake then she will be his and his alone. Hii natamani waisome kwa sauti hata kama wako kwenye mkutano.
MTM nimeuliza na 'nataka' jibu hapo juu...
Kaka DC naona umegusia kidogo.
mwenzako ameiza... sasa na wewe unataka kuiza?Wapi tena B,
Au nimeanza kung'ang'aniwa na usingizi wa uzeeni asubuhi hii!!
Babu DC!!
Waweza epuka pressure lakini ukapata Virus vya HI au Herpatisis
au magonjwa mengine yanayoambukiza kwa njia ya body fluid exchange!
Mimi nilifikiri mkiwa wanandoa mnakuwa mwili mmoja
si kihivyo!
Mtazamo wangu, ni kuwa issue ya mwanaume kuwa na nyumba ndogo isiwe ignored totally. Ukipata mwaminifu you have to thank God for that, lkn wengi si waaminifu; so better discuss, mara kwa mara madhara yanayoweza tokana na hiyo cheating. Ukiangalia chain ya wapenzi, kweli waweza kufa na pressure. majority ya nyumba ndogo wana watu wengine apart from 'ur' husband. another sad fact, both wanawake na wanaume wengi hawaPENDI condom na kwamba hawezi kuwa na mahusiano ya more than a month na mtu wakaendelea kutumia condom.
Kuna uzi fulani AshaDii alisema anaprefer mumewe kuliko kuwa na nyumba ndogo bora awe anaHIT N RUN pale hizo test whatever alizosema MTM zikipamba.
Kuignore uwepo wa nyumba ndogo hakufanyi isiwepo but rather kunampa mwanaume amani ili mradi tu afuate Mwongozo wa the Boss
Si unaona sasa maskhara yako?swahiba umeuliza jibu... sijui nikujibu swali????:doh:
Aksante sana Kaunga hiyo Bold hiyo nadhani wanaume wengi wanajidanganya kuwa once ni nyumba ndogo yake then she will be his and his alone. Hii natamani waisome kwa sauti hata kama wako kwenye mkutano.
Nyumba ndogo ya Mr. zinajua kucheza ndani ya mipaka hazivuki mipaka zingevuka mipaka ungekuwa kama mbogo aliyejeruhiwa
bht hivyo ndo inavyoonekana kwa wengi wanaozihofia hizo nyumba ndogo. Mimi kwangu sijui ninachoelewa ninaamini katika kuspice up things, ubunifu, heshima, kujali na kufanya kila kilichopo ndani ya uwezo wangu kuwa na penzi zuri lakini siamini katika kufanya hayo ili asitoke (mind you ili asitoke) sio eti katoka ndo nipinuke masarakasi ili arudi, no way.......MJ1 nimekupata uzuri hapa...
Umenifanya nijiulize, sasa kwa hiyo yanakuwa mashindano ukihisi mwenza anachoropoka basi uanze kushindana ili arudi? Cant you just do new things to spice up your love live bila kusubiri kuwa umepata tishio nje!?
Na hivi mabadiliko yote hupelekewa na nyumba ndogo?
Haswaaaaaaaa,
Wengi wentu tunaongea mambo yanayotokea kwenye jamaa na naamini ni watu wachache wanajiongelea...
Kuna watu hawa wakieweka confessions zao hapa hawataaminika kabisa....
Babu DC!!