aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Huyu jamaa ndiyo tatizo kubwa Yanga, pamoja na ndiyo kuwa sababu ya GSM kuweka Yanga ila jamaa hafai.
Kila kitu anajua na anataka afanye yeye!
Hawezi usiri kwenye mambo ya Yanga, mbaya zaidi anaingilia kila majukumu na tamaa yake ya kuonekana kwenye TV kila siku. Rais anaonekana kwenye TV zaidi ya afisa mahusiano.
Majukumu yote anataka afanye yeye na ndiyo chanzo cha Senzo kuondoka, maana alijiona ni CEO kivuli.