Tatizo namba moja Yanga ni Eng. Hersi Said

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Huyu jamaa ndiyo tatizo kubwa Yanga, pamoja na ndiyo kuwa sababu ya GSM kuweka Yanga ila jamaa hafai.
Kila kitu anajua na anataka afanye yeye!

Hawezi usiri kwenye mambo ya Yanga, mbaya zaidi anaingilia kila majukumu na tamaa yake ya kuonekana kwenye TV kila siku. Rais anaonekana kwenye TV zaidi ya afisa mahusiano.

Majukumu yote anataka afanye yeye na ndiyo chanzo cha Senzo kuondoka, maana alijiona ni CEO kivuli.

 
Kwa hiyo picha yaonesha jamaa Yanga muda mrefu sana..
Na anaumia sana Yanga ikosapo mafanikio
 
Tatizo sio mtu yeyote, tatizo ni mwenge, hauangazi nje ya mipaka yetu.
Toeni limwenge kwenye beji ya club yenu, wekeni radi
 
Eng.ataendelea kuwatesa na bado mpaka mtakuwa mnamuota vitandani kwenu
 
Wasomali wanapenda sana sifa za kijinga
 
Akili kama za aliyekuzaaa
 
Eng hersi ni mtu swaaaaafi kabisa,kwanza kwani nani kasema yanga ina tatizo???yaani kutoa sare mshaanza kumkataa rais??
 
Mi naona tatizo ni jina...young Africa =wadogo afrika[emoji26][emoji26]au naongopa ndugu zangu??
 
Hersi bonge la Prezidaa,Yanga wanaenda kupindua meza Sudan.
Nimekaa pale
 
Ngoja mkapigwe khartoum mkirudi muanze kuvurugana vizuri
 
Mbaka akitoka Engineer pale Yanga, Mbumbumbu fc watakua wamenyooka vizuri.
Kabisa mkuu, ila rekebisha herufi, au ulikusudia kuandika ' Mbakaji ' na sio ' Mpaka '?

Bila ya shaka wewe ni Mbeya moja, Ughonile!
 
Mambumbumbu wenzangu toka MAKOLOKOLO FC chonde chonde tusijisahau sana maana mwisho wa safari yetu hauko mbali sana [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…