Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Kumbuka Samia alinywea kwa hotuba ya Mbowe wamasai wamepewa haki yao! Pia kumbuka Samia kakiri ushujaa wa Tundu Lissu na kumlinganisha na simba mfalme wa nyika!kulikoni hasa,
hata ifikie hatua mwenyekiti wake Taifa akiibua jambo zito na muhimu kwa maslahi ya chama chake,
basi haupiti muda mrefu,
lazima na makamu mwenyekiti nae aibuke na kituko kingine ilimradi tu kuzima trending ya alichoibua mwenyekiti wake ?
kitaalamu hii ni aina gani ya mapambano ya kisiasa wanayoyafanya mafahali hawa wawili wa chama kimoja, wanao oneana aibu na wasio weza kutazamana macho kwa macho?
hii kasumba ya outshining, thwarting and frustrating ya makamu mwenyekiti dhidi ya mwenyekiti wake kwenye nyumba yao wenyewe,
ni kwa faida ya nani hasa politically speaking?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kwa hiyo kaa kwa kutulia Mbowe na Tundu Lissu ndiyo mashujaa wa siasa za Tanzania!