kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
CCM imeshinda kata, majimbo na Urais majimbo mengi nchini. Tulitegemea kushinda kwao kungepunguza kamatakamata ya wagombea wa upinzani na wale waliochaguliwa wangeanza kutekeleza ilani ila hali ni tofauti kwa ground.
Imeanza kuibuka dhana yakuhujumiwa inayotolewa na madawani na wabunge. Mfano mkoani Iringa Peter msigwa na waliokuwa wagombea wa udiwani wanakamatwa kwa maelekezo ya viongozi wa chama tawala na kuendelea kukaa ndani.
Mkoani Kilimanjaro kila mgombea aliyesimama kwa tiketi ya upinzani atakiwi kujadili au kushirikiana na wananchi kwa chochote Kama ilivyo pia Arusha. Mara napo Hali ipo vile vile ambapo DC Rorya bado anaendelea kutamba kuwasaka wagombea wa upinzani akidai wanahatarisha usalama.
Hii ipo maeneo mengi, Hali hii inazua maswali kuhusu " Nani alaumiwe, wananchi wanaounga mkono upinzani au wapinzani wanaitekeleza haki yao ya kisiasa? Kwanini viongoz wateule na wachaguliwa wa ccm wasianze kufanya Yale waliyoahidi? Zinakaribia siku 60 Sasa tangu washinde lakini hakuna aliyerudi kwa wananchi wote wametulia mjini wakisubiri 2024 waanze kurudi kupiga chapuo.
Badilikeni