Tatizo ni yule Binti hajiamini!

Tatizo ni yule Binti hajiamini!

Notorious thug

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
2,817
Reaction score
10,667
Yule Binti ni muoga sana licha ya Mjomba wake kua karibu nae bado anaogopa anahisi labda kuna watu wanataka kukatisha ndoto zake kumpa mimba na kumtekeleza.

Naamini anajua kabisaa mbeleni huko atakua malkia rasmi ila tatizo anaogopa sasa hivi kitumbua chake kisitiwe mchanga naona na safari za kwenda kwa ndugu zake wa mchongo zitakoma atabaki nyumbani zaidi kulinda ugali wake.

2629889322_44008e942f_o-1116b74c19c6c3c995421f8e679f687dbc7450e3.jpg
 
Yule Binti ni muoga sana licha ya Mjomba wake kua karibu nae bado anaogopa anahisi labda kuna watu wanataka kukatisha ndoto zake kumpa mimba na kumtekeleza. Naamini anajua kabisaa mbeleni huko atakua malkia rasmi ila tatizo anaogopa sasa hivi kitumbua chake kisitiwe mchanga naona na safari za kwenda kwa ndugu zake wa mchongo zitakoma atabaki nyumbani zaidi kulinda ugali wake.
Mnataka kumpindua sada ili awe mke wa pili.😀
🤣
Loh😄😄😄😄😄
 
Yule Binti ni muoga sana licha ya Mjomba wake kua karibu nae bado anaogopa anahisi labda kuna watu wanataka kukatisha ndoto zake kumpa mimba na kumtekeleza. Naamini anajua kabisaa mbeleni huko atakua malkia rasmi ila tatizo anaogopa sasa hivi kitumbua chake kisitiwe mchanga naona na safari za kwenda kwa ndugu zake wa mchongo zitakoma atabaki nyumbani zaidi kulinda ugali wake.
Eheeee haya sasa code hiyo
 
Shikamoo Fasihi

Hii Lugha ndiyo maana ilinishinda shuleni

Hata hivyo Ujumbe umeeleweka, ila wasiwasi wangu ni kuwa ameshapoteza ushawishi kwa sehemu kubwa.

Sina kumbumbuku kama amewahi kututembelea huku Namtumbo tangu achukue usukani wa Jahazi letu
 
Back
Top Bottom