Tatizo ni yule Binti hajiamini!

Tatizo ni yule Binti hajiamini!

Yule Binti ni muoga sana licha ya Mjomba wake kua karibu nae bado anaogopa anahisi labda kuna watu wanataka kukatisha ndoto zake kumpa mimba na kumtekeleza.

Naamini anajua kabisaa mbeleni huko atakua malkia rasmi ila tatizo anaogopa sasa hivi kitumbua chake kisitiwe mchanga naona na safari za kwenda kwa ndugu zake wa mchongo zitakoma atabaki nyumbani zaidi kulinda ugali wake.

View attachment 2718831
Saaa 10×10.... Wakili wangu[emoji1544][emoji1550][emoji1550][emoji1550]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka naomba utie neno kidogo kuhusu huyu Bibi za chini wanadai wewe ni Mshenga
Ndugu yangu hivi kweli mshenga angejidunga hivi[emoji24]
20230816_134508.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule Binti ni muoga sana licha ya Mjomba wake kua karibu nae bado anaogopa anahisi labda kuna watu wanataka kukatisha ndoto zake kumpa mimba na kumtekeleza.

Naamini anajua kabisaa mbeleni huko atakua malkia rasmi ila tatizo anaogopa sasa hivi kitumbua chake kisitiwe mchanga naona na safari za kwenda kwa ndugu zake wa mchongo zitakoma atabaki nyumbani zaidi kulinda ugali wake.

View attachment 2718831
Yani pamoja na kua na macho kumchuzi bibie katuuza
 
sema mjomba wake kanjanja sana, ila hakawii kumwambia akomae
 
Back
Top Bottom