Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Mnataka kumpindua sada ili awe mke wa pili.๐Yule Binti ni muoga sana licha ya Mjomba wake kua karibu nae bado anaogopa anahisi labda kuna watu wanataka kukatisha ndoto zake kumpa mimba na kumtekeleza. Naamini anajua kabisaa mbeleni huko atakua malkia rasmi ila tatizo anaogopa sasa hivi kitumbua chake kisitiwe mchanga naona na safari za kwenda kwa ndugu zake wa mchongo zitakoma atabaki nyumbani zaidi kulinda ugali wake.
Eheeee haya sasa code hiyoYule Binti ni muoga sana licha ya Mjomba wake kua karibu nae bado anaogopa anahisi labda kuna watu wanataka kukatisha ndoto zake kumpa mimba na kumtekeleza. Naamini anajua kabisaa mbeleni huko atakua malkia rasmi ila tatizo anaogopa sasa hivi kitumbua chake kisitiwe mchanga naona na safari za kwenda kwa ndugu zake wa mchongo zitakoma atabaki nyumbani zaidi kulinda ugali wake.
Hata mimi etiNimeshindwa kufungua code๐๐ค
Kwa kutulia ๐Nimeshindwa kufungua code๐๐ค
Kwakweli ๐๐Kwa kutulia ๐
Ngoma ipo clear, muulize dukeNimeshindwa kufungua code๐๐ค