Tatizo ninaloliona si kushitakiwa Mwabukusi na Mdude bali uhuru wa vyombo vya kutoa haki

Tatizo ninaloliona si kushitakiwa Mwabukusi na Mdude bali uhuru wa vyombo vya kutoa haki

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Hii si kesi ya maana ni ya kubumba. Kama tungelikuwa na mahakama huru, wangeliachiwa siku ya kwanza ya mention!

Tatizo ni majaji kama wale watatu wa Mbeya!

Ndio mwendo wa dictators wa Afrika.

1691918560866.png

Kwa tulipofikia sasa,

Kila Mtanganyika anatakiwa ajikane, aubebe msalaba wake na atoke kupambania kesho ya Wana na vizazi mbele yake.

Maana tunaongozwa na viongozi wabinafsi wasio na chembe ya Uzalendo Wala MAONO!!
 
Tutoke wote kwa pamoja. Nina imani they will drop the charges against these heroes
 
Back
Top Bottom