R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Aug 13, 2023 #1 Hii si kesi ya maana ni ya kubumba. Kama tungelikuwa na mahakama huru, wangeliachiwa siku ya kwanza ya mention! Tatizo ni majaji kama wale watatu wa Mbeya! Ndio mwendo wa dictators wa Afrika.
Hii si kesi ya maana ni ya kubumba. Kama tungelikuwa na mahakama huru, wangeliachiwa siku ya kwanza ya mention! Tatizo ni majaji kama wale watatu wa Mbeya! Ndio mwendo wa dictators wa Afrika.
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Aug 13, 2023 #2 Kwa tulipofikia sasa, Kila Mtanganyika anatakiwa ajikane, aubebe msalaba wake na atoke kupambania kesho ya Wana na vizazi mbele yake. Maana tunaongozwa na viongozi wabinafsi wasio na chembe ya Uzalendo Wala MAONO!!
Kwa tulipofikia sasa, Kila Mtanganyika anatakiwa ajikane, aubebe msalaba wake na atoke kupambania kesho ya Wana na vizazi mbele yake. Maana tunaongozwa na viongozi wabinafsi wasio na chembe ya Uzalendo Wala MAONO!!
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Aug 13, 2023 Thread starter #3 Rabbon said: Kwa tulipofikia sasa, Kila Mtanganyika anatakiwa ajikane, aubebe msalaba wake na atoke kupambania kesho ya Wana na vizazi mbele yake. Maana tunaongozwa na viongozi wabinafsi wasio na chembe ya Uzalendo Wala MAONO!! Click to expand... Tutoke wote kwa pamoja. Nina imani they will drop the charges against these heroes
Rabbon said: Kwa tulipofikia sasa, Kila Mtanganyika anatakiwa ajikane, aubebe msalaba wake na atoke kupambania kesho ya Wana na vizazi mbele yake. Maana tunaongozwa na viongozi wabinafsi wasio na chembe ya Uzalendo Wala MAONO!! Click to expand... Tutoke wote kwa pamoja. Nina imani they will drop the charges against these heroes
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Aug 13, 2023 #4 Retired said: Tutoke wote kwa pamoja. Nina imani they will drop the charges against these heroes Click to expand... Kudai bandari zetu wasipewe Bure wageni, kamwe Si uhaini, Ni UZALENDO!!!
Retired said: Tutoke wote kwa pamoja. Nina imani they will drop the charges against these heroes Click to expand... Kudai bandari zetu wasipewe Bure wageni, kamwe Si uhaini, Ni UZALENDO!!!