Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,400
- 320
wewe umesema kweli kabisa na kuonesha kuwa una uwezo mzuri wa kufikiri
Originally Posted by Limbani
Kaka you are WRONG, huwezi fananisha wanafunzi wa UDSM na Mzumbe...
Kulinganisha anaweza,lakini kosa kubwa alilolifanya ni kugeneralise the subject matter!kila chuo huo kinatoa defective products and by products,hili ni jambo la kawaida hata katika viwanda vinavyozalisha bidhaa