Unataka kusema Kufungwa Simba na timu ya daraja la pili na kufukuzwa kocha hapohapo ni coincident tu? be serious!! Mbona unatofautiana sana na Hata MO mliki wa Simba aliyekasirikia kufungwa na kumtaka kocha ajiuzulu? Soma ujumbe wa MO kwenye fb alichopost baada ya timu kuvuliwa ubingwa.Kilichosababisha Omog kufukuzwa Simba si sababu ya kufungwa, kwani mara ya kwanza kufungwa tangu ianzishwe?! Fikiri nje ya boksi kabla hujafungua uzi hapa JF
Mkuu hakuna KIFO kinachokosa sababu OMOG alikua hatakiwi tangu yanga ilipochukua ubingwa,haliyakua iliachwa nyuma kwa point nyingi sanaUnataka kusema Kufungwa Simba na timu ya daraja la pili na kufukuzwa kocha hapohapo ni coincident tu? be serious!! Mbona unatofautiana sana na Hata MO mliki wa Simba aliyekasirikia kufungwa na kumtaka kocha ajiuzulu? Soma ujumbe wa MO kwenye fb alichopost baada ya timu kuvuliwa ubingwa.
For sure umetaja maeneo ambayo Simba SC inakosea kwa kiasi kikubwa.Viongozi wampangie OMOG timu ya kucheza,,, viongozi wanunuwe wachezaji bila kumshirikisha kocha,,, viongozi wao ni makocha,, wachambuzi wa soka,, mwisho wa siku OMOG HAFAI,,, wewe ni kiongozi,, unawezaje kusajili au kushinikiza mchezaji acheze au aachwe? Tatizo ni UONGOZI KUINGILIA MAJUKUMU YA KOCHA., Kwn duniani Simba ndy ya kwnz kufungwa na timu ya daraja LA 2?wachezaji hawachezi kwa moyo,,, pia ni tatizo,,, mchezaji wa kibongo akisha sifiwa anajuwa Mpira basi ANATUNISHA KIBYONGO,, anajiona ndy kila kitu,,,na timu pia haijitumi,,,
Ajabu sana mkuu, , timu yetu hii,, yaani ufukuze kocha timu ingali inaingoza ligi,,,For sure umetaja maeneo ambayo Simba SC inakosea kwa kiasi kikubwa.
Leo Omog anaondoka,lakini hana nafasi ya kujitetea,kusikilizwa ili washabiki na wanachama waweze kuujua ukweli.Sana sana wote wameaminishwa na viongozi kwamba Omog is wrong na amestahili punishment hii.
Kwangu mimi, Omog is still the best coach ambaye Simba SC imempata ndani ya miaka hii mitatu au minne ya karibuni.With combination na Mayanja, Omog bado angeweza kutuvusha.Nilivyoona Mayanja anaondoka nilijua Omog's days are numbered.
Leo hii tuweke kumbukumbu sawa kwamba:
1.Omog anatuacha nafasi ya kwanza VPL.
2.Omog anatuacha na tiketi ya Confederation Cup ya Afrika.
3.Omog anatuacha na kikombe cha ASFC/F.A.
4.Omog tunamuacha akiwa anahitaji kututumikia.
Kwangu mimi, kukaa mezani na Omog ingependeza zaidi kuliko kuutumia msemo wa "coaches are hired to be fired" pasi na sababu.
Kila la kheri Omog, kila la kheri Simba SC.
Jiangalie ndugu...kuwa na kauli nzuri....kwahiyo na nyie shabik wa yanga wote matahiraaaaaClub ya Simba pamoja na washabiki wake wooote hawana akili timamu, kila mara nimekuwa nikisema hili.
Thinking tank ya simba ni wale wazee wa msimbazi waliokuwa sababu ya kuondoka makocha waliopita kabla ya Omog na hawana jipya lolote.
Oooh Manji...oooh...!
Kuwa shabiki wa Yanga kuna raha yake wallah.
Hapana...washabiki wa simba.Jiangalie ndugu...kuwa na kauli nzuri....kwahiyo na nyie shabik wa yanga wote matahiraaaaa
Si ajabu! Ukiangalia utabaini kwamba ili adumu na timu, kocha wa Simba lazima awe ‘Hewalla bwana’ kwa Uongozi.Aridhie kutafutiwa wachezaji. Aridhie kupangiwa timu. Aridhie kuingizwa maneno ya viongozi mdomoni mwake kwa yeye kubaki kimya (kama alivyosemekana Phiri kutomtaka Amisi Tambwe kwenye kikosi), aridhie wachezaji kuamriwa kucheza chini ya kiwango na baadhi ya viongozi, aridhie lawama za timu kushindwa licha ya kasoro zote hizo. Na hatimaye aridhie ‘kusitishwa mkataba wake kwa maslahi ya pande zote mbili’. Phiri, Omog, Mrhm Sianga (ingawa yeye alidumu muda mrefu kutokana na wachezaji walioletwa enzi zake kuwa wazuri na kwa hivyo wakambeba) ndio makocha sahihi wa Simba kwa mintarafu hiyo. Logarusic, Kyerr, Kopunovic, Kibadeni/Julio Na kama hao hawawezi kubaki salama ndani ya Simba kwa sababu hawawezi kukubali mambo hayo.Mkataa pazuri pabaya panamngoja! Sasa sijui Simba wanataka nini?
Basi wamrudishe Patrick Phiri
Mkuu, hapo umeua kabisa.Walijua wakimuacha Omog basi watapata nafasi ya kuongeza mchezaji wa kigeni, kumbe Omog ni kocha.
Yanga walishastuka mapema kuhusu tatizo la kusajili na kumpangia Kikosi kocha. Wachezaji anaowakuta kocha sio issue. Lakini kumsajilia Karne hii eti kwa kuwa Makofia kuona mzuri ni uzwazwa mkubwa sana.Si ajabu! Ukiangalia utabaini kwamba ili adumu na timu, kocha wa Simba lazima awe ‘Hewalla bwana’ kwa Uongozi.Aridhie kutafutiwa wachezaji. Aridhie kupangiwa timu. Aridhie kuingizwa maneno ya viongozi mdomoni mwake kwa yeye kubaki kimya (kama alivyosemekana Phiri kutomtaka Amisi Tambwe kwenye kikosi), aridhie wachezaji kuamriwa kucheza chini ya kiwango na baadhi ya viongozi, aridhie lawama za timu kushindwa licha ya kasoro zote hizo. Na hatimaye aridhie ‘kusitishwa mkataba wake kwa maslahi ya pande zote mbili’. Phiri, Omog, Mrhm Sianga (ingawa yeye alidumu muda mrefu kutokana na wachezaji walioletwa enzi zake kuwa wazuri na kwa hivyo wakambeba) ndio makocha sahihi wa Simba kwa mintarafu hiyo. Logarusic, Kyerr, Kopunovic, Kibadeni/Julio Na kama hao hawawezi kubaki salama ndani ya Simba kwa sababu hawawezi kukubali mambo hayo.