KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,518
Ama kweli nyumba ya adui ikiungua na moto vuta kiti uote moto!Club ya Simba pamoja na washabiki wake wooote hawana akili timamu, kila mara nimekuwa nikisema hili.
Thinking tank ya simba ni wale wazee wa msimbazi waliokuwa sababu ya kuondoka makocha waliopita kabla ya Omog na hawana jipya lolote.
Oooh Manji...oooh...!
Kuwa shabiki wa Yanga kuna raha yake wallah.