Tatizo Simba sio makocha bali uongozi

Tatizo Simba sio makocha bali uongozi

Club ya Simba pamoja na washabiki wake wooote hawana akili timamu, kila mara nimekuwa nikisema hili.

Thinking tank ya simba ni wale wazee wa msimbazi waliokuwa sababu ya kuondoka makocha waliopita kabla ya Omog na hawana jipya lolote.

Oooh Manji...oooh...!

Kuwa shabiki wa Yanga kuna raha yake wallah.
Ama kweli nyumba ya adui ikiungua na moto vuta kiti uote moto!
 
Tatizo Sio kocha. Uongozi wanasajili kwa maoni ya mashabiki. Hasa Harji Manara. Na matawi. Kosa manara kampenda. Lazima asajiliwe. Kampenda Nyozima. Mavugo. Okwi ya nini wazee clubuni? Watu wanatupwa na Azam tunakimbilia. MTU kacheza yanga miaka sita tunamtaka wakati wao yanga awamtaki. Watoto waliotoka mtibwa safi sana.
 
Huna haja ya kusikitika kazi ya ukocha kwasasa ndo kazi nzuri maana km mkataba unaisha unapewa chao unasepa. Lkn pia Omog alikuwa ni mzuri sio kihivyo usemavyo ana safari alikuta simba imeanza kutulia kimapato hs mishahara la asingeweza kufanya hayo aliyofanya. Omog kwasasa ameshindwa kuwatumia wachezaji aliowapata naona upole ulizidi Sana. Pia Omog alishindwa kuwa na timu ya kwanza pia ushindi wa Omog muda wt ulikuwa WA Mashaka Sana kwa simba. Hb fikiria simba iliongoza point nane lkn ikaja kupitwa. WAchezaji viwango vyao vinaporomoka lkn anapangwa tu. Hb mwangalie mzamiru WA mwaka huu hayupo lkn anaacha kumtoa anamtoa nje mwinyi. Yapo makosa mengi ambayo Omog alikuwa dhaifu sna hasa Baada ya kuondoka mayanja Hapo udhaifu WA Omog ulipoonekana dhahiri. Pia wachezaji wetu wana matatizo hasa wazawa hawa nao tuwaseme hawajitambui kbs angalia mzamiru kapotea kbs na wengineo wapo mishahara wanapata kucheza ni tatizo je wakikosa mshahara inakueje Hapo. Naunga mkono uongozi kukuondoa Omog maana timu ilikuwa inazama wakati ina kila kitu kwasasa.. Kuna mwandishi mmoja anasema timu iliandaliwa na kocha msaidizi kusahau kuwa falsafa na kupanga timu Omog alipokuja alizitumia zake Omog...
Hilo LA kuongoza points nane OMOG anahusika na nn? Mpira wa bongo,,, na siasa zake hata ingekuwa Simba inaongoza points 20 mbele,,, kama viongozi wapumbavu Simba itakosa ubingwa tu,,,, wakati wenzao wananunuwa mechi za mwisho viongozi wapo wapi?
 
Yanga walishastuka mapema kuhusu tatizo la kusajili na kumpangia Kikosi kocha. Wachezaji anaowakuta kocha sio issue. Lakini kumsajilia Karne hii eti kwa kuwa Makofia kuona mzuri ni uzwazwa mkubwa sana.
Hivi kwa nini mtu kama Hans Pope asiwe kocha kabisa? Kaburu vile vile.
Hata suala la kocha msaidizi. Kocha yafaa atafute mwenyewe mtu wa kumsaidia
Tatizo la Simba si makocha wala wachezaji. Tatizo la Simba ni Simba yenyewe, akiwamo huyo Mo wao. Hawana mtizamo wa kimpira, wao ni kupiga ‘deal’ na kutaka sifa kwamba ‘mchezaji yule nimemleta mimi, mnaona?’ Yanga wamshukuru Manji, maana ameleta utamaduni wa kumwachia huru kocha kuchagua mchezaji amtakaye. Nahisi wamenogewa na faida ya utamaduni huo, ndio maana wanaendelea nao. Lakini uko sahihi, hata msaidizi wa kocha na dawati lote la ufundi ni kocha ndiye anapaswa kuchagua. Ndivyo alivyofanya Maximo, na walipotaka kimchagulia msaidizi, akasepa zake. Vile ndivyo kocha anavyotakiwa awe, siyo awe kibaraka wa viongozi.
 
Huna haja ya kusikitika kazi ya ukocha kwasasa ndo kazi nzuri maana km mkataba unaisha unapewa chao unasepa. Lkn pia Omog alikuwa ni mzuri sio kihivyo usemavyo ana safari alikuta simba imeanza kutulia kimapato hs mishahara la asingeweza kufanya hayo aliyofanya. Omog kwasasa ameshindwa kuwatumia wachezaji aliowapata naona upole ulizidi Sana. Pia Omog alishindwa kuwa na timu ya kwanza pia ushindi wa Omog muda wt ulikuwa WA Mashaka Sana kwa simba. Hb fikiria simba iliongoza point nane lkn ikaja kupitwa. WAchezaji viwango vyao vinaporomoka lkn anapangwa tu. Hb mwangalie mzamiru WA mwaka huu hayupo lkn anaacha kumtoa anamtoa nje mwinyi. Yapo makosa mengi ambayo Omog alikuwa dhaifu sna hasa Baada ya kuondoka mayanja Hapo udhaifu WA Omog ulipoonekana dhahiri. Pia wachezaji wetu wana matatizo hasa wazawa hawa nao tuwaseme hawajitambui kbs angalia mzamiru kapotea kbs na wengineo wapo mishahara wanapata kucheza ni tatizo je wakikosa mshahara inakueje Hapo. Naunga mkono uongozi kukuondoa Omog maana timu ilikuwa inazama wakati ina kila kitu kwasasa.. Kuna mwandishi mmoja anasema timu iliandaliwa na kocha msaidizi kusahau kuwa falsafa na kupanga timu Omog alipokuja alizitumia zake Omog...
Mm sijawahi kusikia wala.kuona timu inaongoza ligi af inafukiza kocha? Hii kali kweli .kuna wapenzi wa mpira hapa nchini wanaamini okwi, niyonzima nk wanauwezo.wa kimungu uwanjani.washachoka waleeee
 
Niliwaambia mimi kuwa kinyota Simba haifai kuongozwa na mwanamke
 
Mkuu wapi ulituambia? Hayo mambo ya ushirikina Mkuu
Ukisoma mada zangu humu, iko moja nilisema kuwa Simba Ni jina kubwa na lenye nguvu. Hata logo ya Simba Ina kichwa Cha Simba dume. Hivyo Simba kuwa na kiongozi mkuu, CEO mwanamke haifai kinyota. Ili Simba ibaki salama lazima ama wabadilishe CEO awe mwanaume, au wabadilishe logo ya club iwe na kichwa Cha Simba jike.

Kama wanabisha wasubiri waone
 
I see ,mkuu naomba ukiwa unatupia post zako nitag ,hizo zingine zimenipita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma mada zangu humu, iko moja nilisema kuwa Simba Ni jina kubwa na lenye nguvu. Hata logo ya Simba Ina kichwa Cha Simba dume. Hivyo Simba kuwa na kiongozi mkuu, CEO mwanamke haifai kinyota. Ili Simba ibaki salama lazima ama wabadilishe CEO awe mwanaume, au wabadilishe logo ya club iwe na kichwa Cha Simba jike.

Kama wanabisha wasubiri waone

Hahhhh !! Dooh .
 
Back
Top Bottom