kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Utabadilisha makochaweee kuanzia Julio, Kibaden,......Omog lakini Simba itafungwa tu. Mfano, Tambwe aliachwa Simba akiwa mfungaji bora wa ligi, Niyonzima lazima acheze Simba hata kama ujanja wake umeshakwisha, Mwanjale alikuwa na kasoro gani hadi aachwe? . viongozi Simba wanaiwaza Yanga zaidi kuliko timu zoote za TFF, hii inasababisha Simba ifanye vizuri mashindano ya timu za nje kuliko ya ndani ya nchi. Simba hata ikicheza na Mgambo mawazo na akili yao yote iko Yanga