NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Naona Mama anafanya KWA lengo la kuchaguliwa tena Sio KWA mstakabali wa ustawi wa Taifa letu HUKO mbeleni kielimu!!Okay
Mambo ni kwa hatua, Kwa hilo moja sio dogo
[/QUOTE
Tunaongeza idadi ya vibaka mtaani tu!!matapeli,wahuni na majambazi!!
Subirini mtaona
Mitaala ni mizuri sana.Wakuu
Serikali haijatatua tatizo!
Tatizo sio malipo ya Ada bali mhitimu atafanya nini Baada ya kumaliza elimu yake!
Je Anaweza KUTUMIA elimu yake kujiajiri!!?kufanya jambo jipya lenye soko nchini!!!?
Mhitimu huyu aliemaliza kidato cha nne au sita Anaweza kujiajiri na kukuza kipato chake KWA KUTUMIA rasilimali zilizopo!!?
Hata kama serikali ikilipa gharama za uniforms kama elimu inayotolewa HAINA meno HAINA tu Hata mfanyaje!!!
Bajeti iliyotengwa kulipa ada ingetumika kutengeneza mitaala mipya ya elimu nchini!!!
Mkuu mitaala lazima ibadilike hao walimu unawaonea tu Kazi ya na mishahara mbalimbaliMitaala ni mizuri sana.
Facilitators ndio sio creative katika ku deliver knowledge.
Serikali ihusike na facilitators kwanza kabla ya kuponda mitaala.
Mfano hawa wanaoenda kusoma elimu ya juu nje ya Tanzania kuna kitu gani cha tofauti wamekuja nacho ambacho kimeleta mabadiliko kwenye taasisi wanazofanyia kazi?
Naendelea kujifunza jinsi ya kuishi hii nchi mkuu, bado sijajua nisimame upande gani kwa hawa wanasiasa wetu.Naona Mama anafanya KWA lengo la kuchaguliwa tena Sio KWA mstakabali wa ustawi wa Taifa letu HUKO mbeleni kielimu!!
Kwani hujui kwamba Serikali ya SSH inapitia mitaala yote na kuanzia mwaka 2023 watoto wataanza kwa kudoma mtaala mpya?Wakuu
Serikali haijatatua tatizo!
Tatizo sio malipo ya Ada bali mhitimu atafanya nini Baada ya kumaliza elimu yake!
Je, anaweza KUTUMIA elimu yake kujiajiri!!?kufanya jambo jipya lenye soko nchini!!!?
Mhitimu huyu aliemaliza kidato cha nne au sita Anaweza kujiajiri na kukuza kipato chake KWA KUTUMIA rasilimali zilizopo?
Hata kama serikali ikilipa gharama za uniforms kama elimu inayotolewa HAINA meno HAINA tu Hata mfanyaje!!!
Bajeti iliyotengwa kulipa ada ingetumika kutengeneza mitaala mipya ya elimu nchini!
I agree MkuuNaona Mama anafanya KWA lengo la kuchaguliwa tena Sio KWA mstakabali wa ustawi wa Taifa letu HUKO mbeleni kielimu!!
Watoto wa viongozi wasome shule za government kuonyesha mfanoWakuu
Serikali haijatatua tatizo!
Tatizo sio malipo ya Ada bali mhitimu atafanya nini Baada ya kumaliza elimu yake!
Je, anaweza KUTUMIA elimu yake kujiajiri!!?kufanya jambo jipya lenye soko nchini!!!?
Mhitimu huyu aliemaliza kidato cha nne au sita Anaweza kujiajiri na kukuza kipato chake KWA KUTUMIA rasilimali zilizopo?
Hata kama serikali ikilipa gharama za uniforms kama elimu inayotolewa HAINA meno HAINA tu Hata mfanyaje!!!
Bajeti iliyotengwa kulipa ada ingetumika kutengeneza mitaala mipya ya elimu nchini!
Hii ni fikra yakinifu ndio maana hata Nchemba kautambua mchango wa jf katika ujenzi wa taifa kwa sababu ya nyuzi kama hii.Wakuu
Serikali haijatatua tatizo!
Tatizo sio malipo ya Ada bali mhitimu atafanya nini Baada ya kumaliza elimu yake!
Je, anaweza KUTUMIA elimu yake kujiajiri!!?kufanya jambo jipya lenye soko nchini!!!?
Mhitimu huyu aliemaliza kidato cha nne au sita Anaweza kujiajiri na kukuza kipato chake KWA KUTUMIA rasilimali zilizopo?
Hata kama serikali ikilipa gharama za uniforms kama elimu inayotolewa HAINA meno HHAINA tu Hata mfanyaje!!!
Bajeti iliyotengwa kulipa ada ingetumika kutengeneza mitaala mipya ya elimu nchini!