Serikali ime invest Sana huko, Sasa igeukie walimu, wawakopeshe transport. Nyumba waachane nazo. Kila mwl atakaa kwake.
Walimu ni kada inayodharauliwa Sana, ukifika Kwa Hr, masijala, muhudumu, kila kona wanamuona kama refugee. Waweke package special Kwa ajili yao.
Wairejeshe Ile allowance ya kufundisha, au hata wakiitungia Jina mathalani, extra time duty. Kwa maana watalazimika kukaa kimalezi ku guide Watoto nk, kuwapa skills unayosema mtoa mada, Kwa sababu bila kuwawezesha, usafiri na kadhalika. Hata watoto wakiwekewa tv na ice cream na wazaz baada ya kusamehewa ada,wakapewa na honorary ni bure.