Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 583
- 1,265
Kila kitu ni hatua, hakika ni mwanzo mzuri pia, hata hiko kidog kinachopatikana kwenye mitaala iliyopo basi tukipate wote.Wakuu
Serikali haijatatua tatizo!
Tatizo sio malipo ya Ada bali mhitimu atafanya nini Baada ya kumaliza elimu yake!
Je, anaweza KUTUMIA elimu yake kujiajiri!!?kufanya jambo jipya lenye soko nchini!!!?
Mhitimu huyu aliemaliza kidato cha nne au sita Anaweza kujiajiri na kukuza kipato chake KWA KUTUMIA rasilimali zilizopo?
Hata kama serikali ikilipa gharama za uniforms kama elimu inayotolewa HAINA meno HAINA tu Hata mfanyaje!!!
Bajeti iliyotengwa kulipa ada ingetumika kutengeneza mitaala mipya ya elimu nchini!
Ada siyo tatizo kama ulivyosema,tatizo kubwa na utitiri wa vifaa na fedha za michango.michango pekee yake kwa mwanafunzi wa kidato cha tano ni zaidi ya milioni moja wakati ada ni 75,000 tu kwa mwaka.kuna vitu ambavyo vinamwumiza mzazi lkn serikali havioni,km vitabu,karatasi,godoro,pesa ya umeme,walinzi,mitihani,stationery,vifaa vya chakula,malazi,matibabu,gharama za safari na posho za mjiani nk ndo vinavyoumwumiza.mzazi ada ni danganya toto tu.leo hii mtoto anatoka bukoba na amepangiwa songea hebu fikiri mzazi atatumia kiasi gani?Wakuu
Serikali haijatatua tatizo!
Tatizo sio malipo ya Ada bali mhitimu atafanya nini Baada ya kumaliza elimu yake!
Je, anaweza KUTUMIA elimu yake kujiajiri!!?kufanya jambo jipya lenye soko nchini!!!?
Mhitimu huyu aliemaliza kidato cha nne au sita Anaweza kujiajiri na kukuza kipato chake KWA KUTUMIA rasilimali zilizopo?
Hata kama serikali ikilipa gharama za uniforms kama elimu inayotolewa HAINA meno HAINA tu Hata mfanyaje!!!
Bajeti iliyotengwa kulipa ada ingetumika kutengeneza mitaala mipya ya elimu nchini!
Yule alikuwa anataka kuabudiwa harakaKwani hujui kwamba Serikali ya SSH inapitia mitaala yote na kuanzia mwaka 2023 watoto wataanza kwa kudoma mtaala mpya?
Samia sio mjinga kama wewe na yule aliyetaka wawe wanamuabudu na kujiweka kwenye vitabu vya Historia.
Naunga mkono hoja, mfumo mzima wa Utoaji wa ELIMU ktk Ngazi zetu iangaliwe upya. KATIBA mpya iliangalie Hilo.Wakuu
Serikali haijatatua tatizo!
Tatizo sio malipo ya Ada bali mhitimu atafanya nini Baada ya kumaliza elimu yake!
Je, anaweza KUTUMIA elimu yake kujiajiri!!?kufanya jambo jipya lenye soko nchini!!!?
Mhitimu huyu aliemaliza kidato cha nne au sita Anaweza kujiajiri na kukuza kipato chake KWA KUTUMIA rasilimali zilizopo?
Hata kama serikali ikilipa gharama za uniforms kama elimu inayotolewa HAINA meno HAINA tu Hata mfanyaje!!!
Bajeti iliyotengwa kulipa ada ingetumika kutengeneza mitaala mipya ya elimu nchini!
Tuna WATU Wa ajabu sana kwenye nchi za Kiafrika.Ninapata shida sana kuamini kama kweli tuna nia nzuri ya kuleta maendeleo katika nchi hii! Mambo ambayo tunayafanya kwa gharama na lazima yawe endelevu tena kwa ubora - ndio tutayoyaondolea malipo!!
Nilidhani atapendekeza fedha zote zinazolipwa kama ada zibaki wizara ya elimu kuendeleza sekta ya elimu. Zisifanye shughuli zingine.
Swala la kufuta ada za shule haliendani na dhana kuwa shule hizi zina uhaba wa walimu, vitabu, maabara na mitaala isiyomsaidia mwanafunzi kujiajiri. Inapingana na kuwa elimu ina thamani na walezi/wazazi wanapaswa kujinyima na kujitolea ili watoto waipate!!
Sioni maana ya kufuta karo kwa mtoto anayepokea huduma ya serikali moja kwa moja na wakati huo huo kupendekeza kumtoza mtu mwenye kuanzia miaka 18 kodi ya kichwa ambaye hapati huduma ya moja kwa moja ya serikali!!
Kitu kizuri huwa na gharama. Tukitaka elimu yetu iwe na thamani - ni lazima iwe na gharama hata kama ni ndogo!! Katika nchi inayoshindwa kukusanya kodi na ikabaki kukopa, inafutaje karo??
Alietakiwa apate maoni ya wadau kabla ya kufuta hiyo 70,000/- njaa Kwa watoto ni tatz kubwa.Hebu Tanguliza shukrani kwanza kwa kufutiwa hiyo Ada ndio uanze kukosoa .
Serikali inatumwa na wananchi, HAIJIPANGII, bila kushirikisha wananchi ni kujisumbua tu.Kwani hujui kwamba Serikali ya SSH inapitia mitaala yote na kuanzia mwaka 2023 watoto wataanza kwa kudoma mtaala mpya?
Samia sio mjinga kama wewe na yule aliyetaka wawe wanamuabudu na kujiweka kwenye vitabu vya Historia.
Aliyekwambia Hawashirikishwi nani? Kutunga mfumo wa Elimu ni sawa na Katiba? Ndio maana kuna jopo likeundwa na linashirikisha makundi maslahi Ili kupata mitaala Bora..Serikali inatumwa na wananchi, HAIJIPANGII, bila kushirikisha wananchi ni kujisumbua tu.
Ya nini kujivisha USTARLING bandia? Mtu akikalia kiti anajiona ana akili kuliko BOSS alomweka pale ambaye ni MWANANCHI.
Uliza watu upate vitu, KATIBA mpya itatusaidia kutuondolea ujinga huu, yaan viongozi wanadhani Wana akiliii, kumbe wap.
KATIBA ni Sheria mama, marekebisho mengi kwenye mfumo wa ELIMU yanagusa Katiba hii tunavyolalamikia.Aliyekwambia Hawashirikishwi nani? Kutunga mfumo wa Elimu ni sawa na Katiba? Ndio maana kuna jopo likeundwa na linashirikisha makundi maslahi Ili kupata mitaala Bora..
Unamdanganya nani? Sheria za Elimu na mambo ya katiba wapi na wapi? Kama hujui na huwezi fikia jopo Holo ujue huna maana yeyeto wala mchango wowote..KATIBA ni Sheria mama, marekebisho mengi kwenye mfumo wa ELIMU yanagusa Katiba hii tunavyolalamikia.
Hujiulizi inakuwaje kila Rais aliingia anakuja na yake?
Mfumo IMARA una Dira ya miaka 100 au zaidi, huwezi kutumia akili ya waziri aliepo, na akiondoka anakuja mwingine na yake.
Ndugu unabishana Hadi ktk hili? Kwa uelewa wako suala la ELIMU halina mahusiano na KATIBA kimfumo?Unamdanganya nani? Sheria za Elimu na mambo ya katiba wapi na wapi? Kama hujui na huwezi fikia jopo Holo ujue huna maana yeyeto wala mchango wowote..
Badala ya kulaumu ungekuja na mapendekezo,jukwaa hili linasomwa na watu wa serikali Kwa hiyo weka mchango wako watachukua,kwani hujasikia Max akipongezwa Bungeni?
Jibu swali na onyesha ambapo mitaala inahusiana na Katiba..Ndugu unabishana Hadi ktk hili? Kwa uelewa wako suala la ELIMU halina mahusiano na KATIBA kimfumo?
Walokuajiri walitumia vigezo Gani kukupa KAZI?
Kuna msanii mmoja Jina anaitwa NYANDU: aliimba pale KIJANI L.Mumba ni NYUMBA ya matapeli hakukosea.
Kwako ni sawa, akitumbuliwa huyu waziri aliepo naye aje na mawazo yake?Jibu swali na onyesha ambapo mitaala inahusiana na Katiba..
Narudia Mitaala haihitaji makongamano ya Katiba.
Hili ni suala la serikali baada ya wadau kusema elimu haitoshi sio swala la Waziri.Kwako ni sawa, akitumbuliwa huyu waziri aliepo naye aje na mawazo yake?
ELIMU ni suala muhimu halihitaji siasa na utashi binafsi.
ELIMU ni suala la KIKATIBA pia nasisitiza, Mtu anapoongelea KATIBA usifikiri ni suala la UCHAGUZI pekee.
Katiba inagusa mifumo yote ya ELIMU, MAZINGIRA, UCHUMI, KILIMO, UFUGAJI,UTALII,. MUUNGANO, SIASA nk. Amen
Haiwezekani, Haiwezekani.Serikali ime invest Sana huko, Sasa igeukie walimu, wawakopeshe transport. Nyumba waachane nazo. Kila mwl atakaa kwake.
Walimu ni kada inayodharauliwa Sana, ukifika Kwa Hr, masijala, muhudumu, kila kona wanamuona kama refugee. Waweke package special Kwa ajili yao.
Wairejeshe Ile allowance ya kufundisha, au hata wakiitungia Jina mathalani, extra time duty. Kwa maana watalazimika kukaa kimalezi ku guide Watoto nk, kuwapa skills unayosema mtoa mada, Kwa sababu bila kuwawezesha, usafiri na kadhalika. Hata watoto wakiwekewa tv na ice cream na wazaz baada ya kusamehewa ada,wakapewa na honorary ni bure.
Sawa.Hili ni suala la serikali baada ya wadau kusema elimu haitoshi sio swala la Waziri.