Mimi nilifeli vibaya lakini nilitoka na fundisho moja kuwa kufanya biashara sahihi, wakati sahihi na mahali sahihi.
Hapo utapata mzunguko ndio maana halisi ya biashara ukikosea hapo hata ukijaza duka na mtaji wa milion 100 kama hakuna wateja imeisha hiyo