#COVID19 Tatizo sio chanjo ya COVID19! Tatizo chanjo imekuja kipindi cha utandawazi kila mtu ana smartphone kila mtu mjuaji

Status
Not open for further replies.
You remind me of one important ideology. Some years back, there used to be TANGANYIKA SABATO, where didi they vanish to?
 
You remind me of one important ideology. Some years back, there used to be TANGANYIKA SABATO, where didi they vanish to?
Hahahaaaa!!wale hata sijui waliishia wapi!!imani hizi, mtu anataka kwenda ulaya hana hata hati ya kusafiria , anadai mbona yesu alikuwa anasafiri na biblia tu!!
 
Hahahaaaa!!wale hata sijui waliishia wapi!!imani hizi, mtu anataka kwenda ulaya hana hata hati ya kusafiria , anadai mbona yesu alikuwa anasafiri na biblia tu!!
Hivi wlikaa Airport kwa muda gani vile, kama wiki hivi au mwezi! Hizi imani kazi sana. Na hii inaathibitsha pasipo shaka kabisa kuwa Mungu ni mtamu mno, na kila mtu analazimika kumtafuta kwa njia zake.

Issue ya njia gani mtu anaitumia kumtafuta Mungu, yaani whether njia anayoitumia ni sahihi ama la, hilo sasa nalo linakuwa ni swala jingine tena!
 
Nadhani walikaa kama wiki tatu hivi, kabla serikali kuamua kuwatimua!!ni sawa lakini kuna imani nyingine zinavuka mipaka!!mfano mashahidi wa jehova, wao kuongezewa damu ni mwiko kabisa, ilizuka huko manyara, watoto wao walikufa sana, serikali naona iliingilia kati, kwa kuwafungulia mashitaka wazazi, hadi leo sijasikia tena!!afrika bwana
 
Uko sawa kabisa ndugu yangu. Mimi nilichokuw najaribu kusema hapa ni kwamba angalau kila nafsi iliyo hai, ina-appreciate uwepo wa Mungu kwa kiwango cha juu sana. Swala sasa la namna ya kumtafuta Mungu huyo kiusahihi ndiyo inabaki kuwa kazi kubwa sana na inapofikia hapa, inapotokea mtu tuseme amekosea, unamlaumu mtu huyo kwa njia aliyotumia kumtafuta Mungu, na huwezi ukamlaumu kwa kumwambia "kwa nini alimtafuta Mungu". Unacholaumu ni njia aliyotumia na si uelewa wake juu ya uwepo wa Mungu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…