Tatizo sio elimu zetu tatizo ni sisi kushindwa kuwaza nje ya Box

Tatizo sio elimu zetu tatizo ni sisi kushindwa kuwaza nje ya Box

Demand n willingness and ability bas kwa tanzania hii kuna watu wengi sana willingness kubwa ya kufanya vitu mbali na wanavyovisomea mashulen mpaka vyuon lakin tatizo n ability hapa ndio pana shida hakuna asiejua mazingira ya kiafrika yalivyo kila kizazi kinatafuta mkate wake tofaut na hao tunaolinganishwa nao

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ishu sio Mazingira au Maisha magumu.

Ukiangalia hata Wavumbuzi wengi walikiwa na Maisha Magumu ujue hata Magharibi miaka ya nyuma walikuwa na life Gumu.

Na kwenye Ugumu ndo kuna udadisi mkubwa sana.

Kwenye maisha magumu au mazingira Magumu ndo vipaji hujitokeza.

Mfano wakati wa Vita kuu ya II ya Dunia maisha yalijuwa Magumu sana Ulaya lakini kuna watu wali jitokeza kipindi hicho na kupambana vilivyo na maisha hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi elimu ina faida gani ..?ukiangalia mafisadi wote wana elimu .na waliofanikiwa kibiashara wengi ni watoro wa shule,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina faida mkuu make ndo udadisi huanzia huko. Sema kibongo bongo udadisi ni Shida.

Wazungu Udadisi huanzia shuleni. anaweza fika shule ule mwaka wa kwanza tu akasoma vile vitabu akaona kuna furusa kibao au akaona Gape na kukimbia kwenda kufanyia kazi.

Ni kweli Masikini au ambao hawakuenda shule ndo wanapesa sana ila pia wapo Wasomi Mabilionare kwa biashara zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli kabisa wanapotosha sana watu, kama kweli ni mjasiriamali mzuri alifanta nini university ? kwa nini asinge drop out secondary school ? mtu yupo mwaka wa pili university hana elimu kweli ? hiyo elimu haijamasaidia kweli ?

La kwanza TUNAOMBA KUJUA ELIMU YA MTOA MADA kuanzia hapo tunaweza kuelewana msipotoshe watu
Ikussaidie nini? najua Kusoma na kuandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi wanapenda kusema Bill alidrop ili kujipa moyo kua kukosa elimu siyo mwisho wa maisha.

Bill hakudrop kwakua hana akili alidrop kwakua masomo aliyoyataka yeye hayakua yakifundishwa Havard hivyo alikua anajiona yeye ni mkubwa kushinda Havard.

Pia Bill kwao kulikua na pesa, hayo makarakacha yote aliyoyatengeneza hapo mwanzo ni pesa za mzee wake.

Someni historia jamani. Usikamate kapointi kamoja tu kua jamaa alidrop, nenda ukajue kwanini alidrop.
Tupe basi na historia ya watoto wa kishua tz walioacha shule na kufanikiwa .

Halafu si kweli kwamba aliacha shule kwasababu ulizozitaja,historia ya Bill sio siri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tumia tu kiswahili kiingereza hakitafanya uonekane una akili.

Sikiliza najua Soma, kuhesabu na Kuandika.
Hivyo vitatu.
Nyie ndo mmeaminishwa kwamba anaue ongea Kingereza ni Msomi,
Kwamba kama Unaongea Kingereza wewe ni msomi?
Dah nilijua haya mawazo yalisha isha kumbe kuna watu still wanaamini hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe basi na historia ya watoto wa kishua tz walioacha shule na kufanikiwa .

Halafu si kweli kwamba aliacha shule kwasababu ulizozitaja,historia ya Bill sio siri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zitaje sababu basi
Acha kuandika vitu nusu nusu.

Watoto wa kishua wa kibongo hawajafanya makubwa kutosha historia zao kukaa mitandaoni ndiyo maana wewe mwenyewe huzijui umekuja kuniuliza mimi
 
Umeona ulivyokua hujiamini? Mi nna id moja tu. Tema hoja acha utoto.

Lakini kuna id zinaniquote na kutetea uzi wako nadhani ndiyo id zako nyingine hizo.
tuambie Bill kwao walikuwa na how much pesa..make umesema pesa ya yeye kutojea ilikuwepo nyumbani kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa niko Verfied acha ujuha.

tuambie Bill kwao walikuwa na how much pesa..make umesema pesa ya yeye kutojea ilikuwepo nyumbani kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Verification haizuii mtu kuandika utumbo au kua na id zaidi ya moja, au uko incompetent kwenye tech pia?

Mkuu hebu acha kupenda kutafuniwa kila kitu. Nenda kasome historia za watu wako kabla ya kuamua kuwatumia kwenye uzi wako.
 
Unachosema ni ukweli kabisa elimu zetu zinatufunga akili kabisa just look kuna graduate wengi ambao wamemaliza elimu ya juu lakini hawaishi kulalama kila kuhusu ajira.Yaani elimu inamwandaa mtahiniwa kuàjiriwa na sio kujiajiri sasa yanini usome elimu ambayo haitakusaidia kutoboa katika màisha

great thinker
 
Kiukweli elimu muhimu kwa kila mwanadamu wa kawaida ni ile ya ujuzi wa mambo yaani angalau ajue kuandika, kusoma, kuhesabu....... Secondary inamtosha kabisa mtu wa kawaida ila yule anaye jielewa.

Kuna watu wanaonesha uwezo wa mambo tofauti wakiwa huko sekondari hawa ndio wanatakiwa waendelezwe kwenye huo uelewa wao...

Kuna wale ambao wao hawajielewi kabisa hawa ndio wanatakiwa waendelee hadi huko kupata Phd kama juma ponda mali
 
Umewaza vyema ila kumbuka utofauti wa kimazingara uliopo kati yetu na hao akina Bill na Mark. Wenzetu wana andaliwa tangu wakiwa watoto kabisa, mifumo yao ya elimu ni imara tangu chin so unakuta mtu kama Billget tangu akiwa dogo tu tiyari kashatengenezewa maziringa mazuri so ni rahis kwa yeye kutoka.

Lakin ukija uku kwetu kwanzia mfumo wetu wa maisha, mifumo yetu ya elimu pamoja na sera zake, siasa zetu pamoja na viongozi wetu, vyote hiv vinakuwa ni kama changamoto kubwa kwetu. Kijana kama mim naweza kuwaza kabisa namna ya kutoka lakin changamoto tajwa hapo juu zikawa ni kikwazo na wengi ndo tunapofelia apo.

So tofauti iliyopo btw sis na hao wazungu ni mazingira nikimaanisha mitaji, mifumo ya elimu, siasa na mtindo wa uongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ishu sio Mazingira au Maisha magumu.

Ukiangalia hata Wavumbuzi wengi walikiwa na Maisha Magumu ujue hata Magharibi miaka ya nyuma walikuwa na life Gumu.

Na kwenye Ugumu ndo kuna udadisi mkubwa sana.

Kwenye maisha magumu au mazingira Magumu ndo vipaji hujitokeza.

Mfano wakati wa Vita kuu ya II ya Dunia maisha yalijuwa Magumu sana Ulaya lakini kuna watu wali jitokeza kipindi hicho na kupambana vilivyo na maisha hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano mdogo tu mchukue mtoto wa kiafrika umpeleke ulaya ..then mchukue mtoto wa kizungu mlete Africa, then wafatilie katika ukuaji wao. Mazingira yatambeba yule mtoto wa kiafrica alieko ulaya .

Hahahaa sio kweli mkuu. Kuna siku nitawaletea story ya Jamaa alie fungua KK Guard hapa Tanzania ukisoma utashangaa mno na ndo utaamini hatuwazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewaza vyema ila kumbuka utofauti wa kimazingara uliopo kati yetu na hao akina Bill na Mark. Wenzetu wana andaliwa tangu wakiwa watoto kabisa, mifumo yao ya elimu ni imara tangu chin so unakuta mtu kama Billget tangu akiwa dogo tu tiyari kashatengenezewa maziringa mazuri so ni rahis kwa yeye kutoka.

Lakin ukija uku kwetu kwanzia mfumo wetu wa maisha, mifumo yetu ya elimu pamoja na sera zake, siasa zetu pamoja na viongozi wetu, vyote hiv vinakuwa ni kama changamoto kubwa kwetu. Kijana kama mim naweza kuwaza kabisa namna ya kutoka lakin changamoto tajwa hapo juu zikawa ni kikwazo na wengi ndo tunapofelia apo.

So tofauti iliyopo btw sis na hao wazungu ni mazingira nikimaanisha mitaji, mifumo ya elimu, siasa na mtindo wa uongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi wale wa mwanzo kabisa wavumbuzi ambao hawakuwa na sehemu ya Kuigilizia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom