Mi sidhani matajiri wote ni watu waliofikiri nje ya box,kuna alot of factors and roads to success.Opportunities pia,kama for the case ya Oprah Winfrey aliyedrop out pia.
Sio kwamba masikini hawafikiri nje ya box.Intelligence doesnt really group the rich and the poor,there are other things to it.
In this capitalist world kuwa tajiri na kumiliki mali ndio the greatest goal of man and it is seen as the peak of achievement and intelligence too.And too bad we cant escape this,the fit survive.
I totally agree na mleta mada kuwa thinking outside the box ni muhimu.Ningependa kusema pia,vitu vingine haviitaji hata kufikiri nje ya box.Hauhitaji hata kuwa na extraordinary ideas.
Ni kitu kidogo tu unaweza kufanya na kufanikiwa ila since it doesnt sound like a great idea people give up au hata hawajaribu.
Most of us are in this group,tunajua tunaweza tukafanya jambo ila hatujaribu,tunakuwa motivated for a while ila we just dont do it.Basi tu.
For the rich to be rich,masikini lazima wawepo,thats how its always going to be.
Mi naamini,to be rich you need money or/and an opportunity pamoja na ideas na strong drive.Ndio maana wazazi wanatupeleka shule kwanza.Wanaamini inabidi tujue historia,dunia na viumbe kwa mapana ili tuweze kuamua ni njia gani tutachagua kufika kwenye peak of success.
Binadamu tuko tofauti,wengine hawahitaji shule kujikimu,wengine wanatumia shule ipasavyo kujiongeza,wengine wanatumia elimu pekee kujikimu.
Tunahitaji pesa au fursa.Na most importantly willingness to work hard.love to work.tusiwe na tabia ya kuhairisha mambo.tujiamini n.k...sema binadamu tuko tofauti.Na wengi wetu,kujituma ni ngumu mno.Hata kama ukifikiri nje ya box na hauna willingness na una uvivu utabaki hapohapo.
Wavivu tutaishia kujisema tu,kukosoana,kuchat,nakuchelewa kuamka,kujifurahisha,kupiga stori za kijingajinga,mvua ikinyeesha tunapostpone kazi,tukipata faida nzuri tunajitoa out,tuna viburi,tunajifanya tunajuuuuua,hatuna rich mentality.. sio kwamba hatujui ila we dont want to care,tunapotezea,tunasubiri kesho.
Wale waliozaliwa matajiri wana opportunity tayari.Kama kwenu ni masikini,wala hata usijiweke kwenye group la middle class,jiite tu masikini,tajiri ni mwenye chopper kwa hiyo anaweza kuescape mafuriko.The poor have to work harder,ila funny enough matajiri ndio wanajituma.
Tunaogopa umasikini ila what are we doing about it?
Baadhi ya wanaume ndio wameamua kuoa wanawake wenye kazi au wenye pesa zao,yani the goal ni double income.
Na wanawake ofcuz anataka mwanaume mwenye kipato,tena kuzidi chake na cha uhakika.Yani mwanaume mwenye future.
Ndio coping mechanisms hizo.Halafu utashangaa watu wanakuja kulaumiana mara oh wanawake wanapenda pesa mara oh huyu mwanaume anakibamia...hutakaa ukajua billgates anakibamia or not.Tatizo sio kibamia wala tamaa ya mwanamke.Tatizo ni uvivu wakutafuta pesa.Mwanamke mvivu anahangaika kutafuta mwanaume mwenye pesa,akiwa bahili anakibamia,mwanaume mvivu anatafuta mwanamke asiyependa pesa,anayependa pesa anamkeraaa.You know what im saying.
Tujitume bhana,thinking outside the box ni bonus.Mfano wa karibu tu,ni Naseeb Abdul.Mimi nilikuwa sipendi wimbo wake wakwanza yani nilikuwa simfeel.Ila jamaa kept on releasing songs.Akaanza kucheza kwenye videos.Mimi huwa naamini artists wanaocheza huwa succesful zaidi mfano MJ.,Beyonce,Usher,ChrisBrown,Derulo n.k..Nikaona kweli this guy anajituma.Nilipenda juhudi za diamond kwanza kabla hata sjamkubali kisauti.Diamond anajishusha,anajipendekeza,na anajituma.Acopy kazi asicopy,afanye afanyalo jamaa hagive up.He is an international artist and entrepreneur.Excellent.
Tujitume jamani.Kujituma muhimu.Mtu anayejituma ndiye anayepata fursa.
Hardwork beats talent anyday.
Sent using
Jamii Forums mobile app