CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
-
- #21
Ila ishu sio Mazingira au Maisha magumu.Demand n willingness and ability bas kwa tanzania hii kuna watu wengi sana willingness kubwa ya kufanya vitu mbali na wanavyovisomea mashulen mpaka vyuon lakin tatizo n ability hapa ndio pana shida hakuna asiejua mazingira ya kiafrika yalivyo kila kizazi kinatafuta mkate wake tofaut na hao tunaolinganishwa nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiangalia hata Wavumbuzi wengi walikiwa na Maisha Magumu ujue hata Magharibi miaka ya nyuma walikuwa na life Gumu.
Na kwenye Ugumu ndo kuna udadisi mkubwa sana.
Kwenye maisha magumu au mazingira Magumu ndo vipaji hujitokeza.
Mfano wakati wa Vita kuu ya II ya Dunia maisha yalijuwa Magumu sana Ulaya lakini kuna watu wali jitokeza kipindi hicho na kupambana vilivyo na maisha hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app