NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 10,004
- 21,312
Hameni nchi.Na bado 2025 mwendawazimu anaingia kushika nchi
Tanzania hata kilaza anaongoza, swali ni je anapitaje hapo ndipo kila mtu anabaki kutukana mitandaon
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa kafanya madhambi mengi sana kupitia vijana wake ndio mambo yanaanza polepole kujibu, bado sana utamwonea huruma zaidi siku ukimwona kapigwa pingu. Damu ya mtu huongea!Kwa muda mrefu nimefuatilia mijadala na makala mbali zinazohusu taifa letu. Nimeona wengi wakilalamika, wakikosoa hata kutukana mamlaka kubwa zaidi ya nchi yetu.
Nilichogundua Watanzania wengi wanaelekeza lawama kwa mtu, wanamkosoa sana Rais wetu, wanamzodoa kwa hatua mbalimbali lakini hawajui kuwa Rais wetu kama binadamu anaoenyesha uwezo wake halisi iwe kwa kufeli au kufaulu yeye anaonyesha alichonacho iwe kizuri au kibaya yeye anatenda tu kutokana na utashi na uwezo wake kama binadamu.
Tatizo sio yeye, tatizo ni wale waliomfanyia vetting na kumuandaa alivyo leo. Je, hawakujua yupoje au walifeli saikolojia ya akili na utu na ubinadamu wake? Au waliomfanyia vetting uwezo wao ni mdogo wa kumwelewa mhusika au walipanga wamlete aje kufanya haya tunayolalamikia?
Tatizo sio Raisi wetu tatizo kubwa sana tujue ni uwezo wa kitengo cha vetting na system kwa ujumla ndio mwanzo wa haya yote! Idara ya vetting inapaswa kufumuliwa wawekwe wataalamu na madaktari wa saikolojia na akili ya wanyama wote hususan binadamu ili wanapofanya vetting wazingatie zaidi ya uwezo wa kiutendaji bali hata sababu za kibinadamu na utu!
Idara ndio kioo cha haya yote tunayolalamikia na kulia. Watanzania tusimlalamikie Rais, tuilalamikie idara ya vetting ifanyiwe mabadiliko makubwa ili wakati ujao wasirudie makosa yenye kuligawa taifa kama sasa!
Maoni, mijadala na shutuma zetu zilenge taasisi ya vetting na sio mtu. Yeye kama mtu anaonyesha uwezo wake kama mtu alivyo na sio vinginevyo. System ya Vetting ndio tatizo kubwa sana kuliko mtu. Watanzania waelewe hivyo.
Kwa muda mrefu nimefuatilia mijadala na makala mbali zinazohusu taifa letu. Nimeona wengi wakilalamika, wakikosoa hata kutukana mamlaka kubwa zaidi ya nchi yetu.