Chimbuko la kelele lipo kiimani na kisaikolojia.
Nashauri NEMC Pelekeni hoja Wizara ya Elimu ili watakapoboresha mitaala yao, somo la Sayansi kimu lifundishe kwa kina madhara ya uchafuzi wa mazingira ikiwemo kelele.
Tukumbuke kwamba baadhi ya viongozi wanaumwa huu ugonjwa wa kisaikolojia na afya ya akili. Baadhi ya viongozi ni zao la wapiga kelele kuanzia shule ya msingi na vyuo!
Mfano: Hata huko bungeni mtakubaliana na Mimi mara nyingi spika huwa anawatuliza wapiga kelele. Kwenye vikao vya panel vya Mawaziri kuna mawaziri watatu (jina kapuni) huwa hawatulizi midomo yao kwa soga wakiwa kwenye vikao.
Wapo pia baadhi ya ma-DC ni wambeya na wapenda soga hata wakiwa kwenye vikao hawatulizi viherehere.
Tuliobahatika kusoma shule moja na RC CHALAMILA hatushangai kumuona alivyo maana orodha ya wapiga kelele darasani alikuwa kinara.
Zao la wapiga kelele baadhi yao tumewapa mamlaka ya kusimamia sheria, mnategemea NEMC wafanye kitu gani zaidi?
Viongozi tunaowategemea ndiyo hao wanamiliki bar na kumbi za starehe mnategemea nini?
Baa na makanisa yakizidisha kelele kuna siku wananchi wataanza kujichukulia sheria mkononi.
Tatizo la uchafuzi wa mazingira ni ugonjwa wa akili ambapo hata baadhi ya viongozi wanaumwa!