Tatizo sio sandaland, tatizo ni rangi za timu

Tatizo sio sandaland, tatizo ni rangi za timu

Nebuchadneza

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2023
Posts
435
Reaction score
1,093
Huwezi pata jezi nzuri kwenye rangi nyekundu na nyeupe,ukijitahidi kuzichanganya zote mbili utapata vazi la mganga, unajua rangi za yanga nzuri sana,kwanza zinaonyesha vitu vilivyopo duniani, uoto wa asili na maji,pia dhahabu ila ukiangalia rangi za simba duuh nyekundu unamaanisha uchawi, hata wachawi huvaa nyekundu, nyeupe na nyeusi.

Msilalamike sana juu ya jezi mbovu, rangi za yanga zinaibeba sana.
 
Issue ni ubunifu
 

Attachments

  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    25.7 KB · Views: 2
  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    19.4 KB · Views: 2
  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    29.9 KB · Views: 3
Tatizo ni ubunifu

Manchester united miaka na miaka wanatoa jezi kali

Liverpool vilevile

Mfano msimu huu jezi sio mbaya ila kitambaa kilichotumika jezi za satini watu wameacha kutumia kitambo sana
 
Back
Top Bottom