Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
Lakini laiti tungechukua muda na kumfikiria binaadam alivyo leo kisha tufikirie alivyokuwa (wazo) binaadam kabla ya kuwa binaadam lazima
utauogopa uwezo wa aliyemuwaza binaadam kabla ya hali ya ubinaadam..tofauti na binaadam waundaji wa vitu, Muundaji wa binaadam
hakuhangaika na sketches nyingi na kuchana karatasi kwa kukosea. Wala hakukuwa na 'Prototype' aliyoigelezea. Yeye husema tu.. 'kuwa'..
Rudi nyuma ya wakati (kifikra) ujaribu kuufikiria uwezo, ukubwa na utukufu aliokuwa nao muundaji wa binaadam kwa jinsi alivyoweza ku-
mbuni kiumbe huyu binaadam ambaye leo ana vidole vya kushika vitu, akitaka kujisaidia anachuchumaa kiasi cha kuutenga mwili na uchafu
wake mwenyewe. Ana macho ya kuona!
Mfikirie muundaji wa binaadam..Anavyoweza kuondoa anachokiondoa kisha binaadam akarudi kuwa kuwa 'lifeless' na kurejea kuwa 'wazo'..
Seriously Mi' nasisimka...Nauogopa uwezo wa muundaji wa binaadam