Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
Mkuu@Mamndenyi Msikilize Bwana Yesu anamtabir Mtume Muhammad Rehema za Allah ziwe juu yake na Aman. Mathayo, Chapter 3:3-11Pamoja na ujanja wako wooote
umemkubali kuwa hakuna kama Mungu
bado tu nitakusalisha sala ya toba ili umkubali Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wako.
Kweli?Mkuu@Mamndenyi Msikilize Bwana Yesu anamtabir Mtume Muhammad Rehema za Allah ziwe juu yake na Aman. Mathayo, Chapter 3:3-11
[SUP]3:11[/SUP] Mimi ninawabatizeni kwa maji kuonyesha kwamba mmetubu. Lakini yule anayekuja baada yangu ana uwezo kuliko mimi. Mimi sistahili hatakubeba viatu vyake. Yeye atawabatizeni kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.
unamjuwa nani huyo? kwenye hayo maandishi mekundu?wewe unafikiri ni nani kati ya Mtume Paulo na Mtume Muhammad S.A.W.?
Mkuu Elizabeth Dominic Ndie Mtume muhammad alibatizwa na roho takatifu ndie aliye mbatiza na ndie Bwana YESU anamtabiri Mtume Muhammad Rehema Allah ziwe juu yake na amani.Kweli?
Kwani Muhamad alibatiza watu kwa Roho Mtakatifu?
Mkuu manoah Tuache mambo ya Udini tufuatilie kichwa cha habari cha Thread hi kila kituy sii Wa-Danganyika tunachukulia Poa kwanini inakuwa hivyo?
Mkuu manoah mimi ninatafakari kila wakati sio tu asubuhi kila wakati ninatafakari Kwanini sisi Binadamu Mwenyeezi Mungu katuumba? Jibu hili hapa Quran Sura 51-58 56. Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.MziziMkavu , mie ninachofikiria ni kwamba wabongo mliopo wengi hamna mda wa kukaa chini na kutafakari au kujitathmini, kwa upande wangu, kuhusu na hili jambo hua natafakari sana na mwisho wa siku hua kuna kitu hua na gain hasa power ya kiroho, daily niamkapo alfajiri natumia kama dk 15 kutafakari ukuu
Mkuu@manoah Amka siku moja saa 8 usiku nenda nje ya nyumba yako kama unakaa Gorofani panda juuMziziMkavu , umenifunza kitu hapo.mkuu maisha yetu tuishio ni kama fumbo, hapa ndipo ninapo waza ni mengi yapo mbele yangu, ila Allah anayajua. Nikiwaza hapo hua napiga saruti na kua mpole na mtiifu kwake