Tatizo ujasiri wa jaji Warioba huonekana pale tu kwenye tawala zenye uhuru wa kujieleza

Hata kwa magu angeweza kukemea tu
Sio angeweza alimkosoa sana tu. Watu huwa wana tabia ya kusahau

Mimi nadhani mtu kama warioba kwa umri alionao wala hata haihitaji kupambana nae. Ni kuacha aseme tu yale anayotaka basi
 
Tusipokuwa makini kuna wengi watakuja kutupotosha kwenye siasa za nchi hii. Huyu mzee hajawahi kuacha kukosoa pale inapobidi.
Mfuatiloe hasa kwenye kipind cha dk 45 cha ITV
 
Mbona Warioba kakosoa uchaguzi huu kwa kufanya reference ya uchaguzi wa 2019 wakati Magufuli akiwa Rais?

Mbona kipindi cha Magufuli Warioba alimsema sana Magufuli? Au ulizima mitandao uliacha kufuatilia?
Chawa wa mboga mboga hawatumiagi akili na kumbukumbu zao pia haziko vizurii
 
Jaji Warioba is a gentleman hana papara.
Mwanasheria Mkuu enzi za Mwalimu Nyerere,Kafanya kazi kubwa kwenye IMO(International Maritime Organization)
Akiwa Waziri Mkuu wakati wa Mzee Ruksa, hakuvuma sababu hajaona haja ya kutumia misuri badala ya bongo.
Na ndio wakati vyama vingi viliruhusiwa,Uhuru wa vyombo vya habari ulistawi.
 
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
We
Mbona unakuwa muongo....wakina kikwete wasinge muita tume ya jaji warioba....mtu kawa mwanasheria mkuu wa serikali, mkurugenzi wa mashtaka, makamu wa rais na waziri mkuu.....sembuse ujaji?? Anashidwa vipi kuwa jaji?? Kasoma sheria kwa muda mrefu sana... hakuna msomi wa maana kwa kizazi chake anamzidi warioba
 
Haya Maneno yanatoka kwako??
Ni Kweli Hujui Jaji waryoba kwanini anaitwa Jaji?

Mzee waryoba sio jaji by Proffesional na Amewahi kuwa Mwanasheria Mkuu Wa serikali?
Ni kweli Hujui Waryoba alikuwa judge lini???

Ngoja Nikusaidie..

Following his tenure as prime minister, he served as a judge on
the Hamburg, Germany-based International Tribunal for the
Law of the Sea from 1996 to 1999. Furthermore, in 1996,
President Benjamin Mkapa appointed him as chairman of the
Presidential Commission Against Government Corruption,

better known as the Warioba Commission..

Hayo sio maneno Yangu Ni maneno kutoka Ofisi Ya VP (vice President)
unaweza ukaenda Kuyaangalia..

 
Amewahi kuwa Jaji..

he served as a judge on the Hamburg, Germany-based International Tribunal for the Law of the Sea from 1996 to 1999. Furthermore, in 1996,
President Benjamin Mkapa appointed him as chairman of the
Presidential Commission Against Government Corruption,
better known as the Warioba Commission
 
Kwa wote wanaul8za Kuhus Waryoba Kuwa Judge..

Warioba served as a judge on the Hamburg, Germany-based International Tribunal for the Law of the Sea from 1996 to 1999.
 
Warioba ni jasiri muda wote, hukumbuki vile Makonda alivyomkaba anataka kumpiga, si ilikuwa wakati wa dikteta Magu? Na sasa hata katika hatari za kutekwa na kupetezwa kunakofanywa na machawa wa mama bado anaongea ukweli.
 
Bora warioba anathubutu hata kuongea kwenye uhuru wa kuongea, na vipi wale machawa wanaoufyata mkia hata kukosoa kidogo wanaogopa, kutwa kusifia sifia tu, hujaona tatizo hapo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…